Search results

  1. frem zero

    MSAADA: Je, Mjamzito anaruhusiwa kutumia dawa za mafua?

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu, Mimi ni mama kijacho miezi mitatu na nusu. Jioni hi nimepatwa na shida ya mafua. Pua zimeziba kabisa napumulia mdomoni. Je, naweza kunywa dawa ipi ya mafua?
  2. frem zero

    Msaada, napatwa na muwasho sehemu za siri

    Wakuu habari. Jamani wiki iliyopita nilipata muwasho sehemu za siri usio wa kawaida. Muwasho huo uliambatana na uchafu wa rangi ya maziwa uliofanana na mtindi lakini haukuwa na harufu. Yaani niliwashwa hadi nikapata michubuko na nunu ikavimba. Nikakimbilia hospitali. Nilimueleza daktari hali...
  3. frem zero

    MSAADA: Ukichoma sindano ya uzazi unaweza kujamiiana baada ya muda gani kupita?

    Wakuu eti ukichoma sindano ya uzazi wa mpango yafaa kukaa muda gani ndo uweze kujamiiana na mwenzi wako bila wasi wasi? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. frem zero

    Mchango wa dini katika kutetea haki za kiraia: Mohamed Said yeye ni kushutumu Wakristo

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti zantel iwe ya waislam tu, kweli hawa viumbe wanachekesha sana.
  5. frem zero

    Walimu na wadau wa elimu naombeni msaada wa mawazo tafadhali

    Habari zenu mabibi na mabwana. Naombeni kujua hii ni haki kweli? Mimi ni mwalimu katika mkoa fulani, mwaka huu kwangu haujakaa vizuri kabisa kutokana na matatizo yaliyoniandama. Mwanzoni mwa mwaka huu nilivamiwa nyumbani kwangu na kufanyiwa fujo, nilienda kutoa taarifa kituo cha polisi, na...
  6. frem zero

    Baba achinjwa na mwanae

    Jamani mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hapa jirani kuna baba mmoja ambae ana watoto wawili wa kiume. Baba huyu inasemekana ni jambazi wa kutupwa. Aliwafundisha watoto wake ujambazi na namna ya kuua watu. Mtoto wake mmoja yupo gerezani huu mwaka wa 15, na huyu mwingine kamaliza kifungo miezi...
  7. frem zero

    MTK Loggers katika simu ni kitu gani?

    Wakuu habari zenu. Naomba kujuzwa MTK Loggers ni nini? . Application hii imekuwa ikinisimbua sana pale napokuwa naingia Facebook. Tatizo linakuwa hivi : Nikiingia Facebook simu inajizima kisha inajiwasha yenyewe na kuandika maneno haya . Niki press ok inaanza kunyonya MB storage ...
  8. frem zero

    Dada yangu anatishia kujiua, nishaurini tafadhari

    Habari zenu wakuu. Mimi ni binti wa miaka 25 ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto watano. Nina dada yangu ambaye ni wa tatu kuzaliwa, ndugu huyu ananifanya niishi kwa wasi wasi na huzuni kuu huku nilipo, kwa sababu mara kwa mara amekuwa akitishia kujiua yeye na kumuua mtoto wake...
  9. frem zero

    Je, kuna athari zitokanazo na watu wa dini tofauti kuoana?

    Habari za muda huu, 1) Naomba kujulishwa athari zitokanazo na watu waliofunga ndoa wakiwa na imani tofauti. 2) Je kuna tofauti yoyote baina ya watu waliofunga ndoa kwa imani moja na wale waliofunga kwa imani tofauti katika maisha yao ya kila siku?
  10. frem zero

    Msaada wa dawa ya jino

    Habari zenu wakuu. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Jamani mwenzenu nina matatizo ya meno kutoboka. Mwaka jana nimeng`oa meno mawili ya Chini , jambo la kusikitisha mwaka huu tena ninaumwa meno mawili tena yaani yananiuma hadi kupelekea masikio kuuma. Meno haya yanauma wakati wa kula...
  11. frem zero

    Wanandoa wenye umri wa miaka 70 wanauwezo wa kujamiiana?

    Habari za leo, Jamani naombeni kujuzwa, hivi wanandoa walio na umri kuanzia miaka 70 na kuendelea, je bado wana uwezo wa kujamiiana?
  12. frem zero

    Msaada kwa anayejua website ya chuo cha Ardhi Singida

    Habari za leo wana jf, naomba mniambie chuo cha ardhi singida kinatambulika kwa jina lipi mtandaoni? Pia naomba mniambie link ipi itaniwezesha kuangalia majina ya wnfz waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalmbali ktk ngazi ya certificate na diploma 2016.
  13. frem zero

    Otea nini kitatokea hapa

  14. frem zero

    Hodiiiiii

    Nina furaha kuwa member mpya wa jf. Nipeni ushirikianooo[emoji7] [emoji8]
Back
Top Bottom