Search results

  1. Mwalimu Ntuntu

    Kuhusu Ubora wa Elimu ya Mtandaoni

    Nashukuru sana. Nitafanyia kazi
  2. Mwalimu Ntuntu

    Kuhusu Ubora wa Elimu ya Mtandaoni

    Habari wanajukwaa hili muhimu, Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua juu ya Elimu inayopatikana kwa njia ya mtandao (on-line) hasa kutoka vyuo vya nje. Je, unaweza kutambulika kama mhitimu? Je, ukiileta kibongo bongo hiyo shahada ya nje TCU hawawezi kuleta zengwe? Msaada kwa aliyepitia huu...
  3. Mwalimu Ntuntu

    Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Napateje sponsorship kwa masomo ya nje njia ya masafa? Online?
  4. Mwalimu Ntuntu

    Top Ten: Makabila ambayo watu wake upstairs pamechangamka

    Kwahiyo sisi WALUO unatuchukulia poa eeeh????
  5. Mwalimu Ntuntu

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Kula nyama .....nyamaza! Asuuuuumaaaaaniiii
  6. Mwalimu Ntuntu

    Kijiji gani ardhi yake ina rutuba, na gharama za kilimo ziko chini?

    Mwenyeji huko??? Natafuta connection ya makazi kabisa ya kudumu
  7. Mwalimu Ntuntu

    Kijiji gani ardhi yake ina rutuba, na gharama za kilimo ziko chini?

    Naomba sana connection ya huko Mbingu. Napasikia tu ila ndo nataka nije niweke kambi ya maisha yangu yote hapa duniani
  8. Mwalimu Ntuntu

    Tunaosoma Open University of Tanzania tukukutane

    Nilifanya application lakini kimya! Nifanyeje?
  9. Mwalimu Ntuntu

    English learning thread

    I got the same intention on English language
  10. Mwalimu Ntuntu

    Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

    Msiichukulie poa pia kazi ya ualimu kuwa kama u "house girl". Umempeleka mtoto shule afundishwe kujua kusoma,kuandika na kuhesabu kwa shule za msingi na kwa sekondari kumudu stadi/masomo yote ya sekondari. Pamoja na hayo mtoto afundishwe nidhamu na maisha ya kijamii. Jikite/Fuatilia matokeo ya...
  11. Mwalimu Ntuntu

    Ufaulu huu anaweza kusoma kozi gani nzuri ya afya?

    Mshauri aende VETA chaaap kozi ya umeme
  12. Mwalimu Ntuntu

    Una Degree na unafanya kazi ambayo ungeweza kuifanya hata kama ungeishia darasa la saba

    Kwa hatua tuliyofikia sometimes mashuleni/vyuoni tunapiga Mark time tu watu wakue waingie kwenye michakato ya maisha pasipo kuzingatia sana walichokisomea. Ukisubiria kupata post ya ulichosomea utajikuta umezeeka na bahasha mkononi
  13. Mwalimu Ntuntu

    Nimempa mke wa mtu zawadi ya chupi ameonesha kuikubali na kuifurahia sana

    Umeshawahi kumiliki demu au umeshawahi kuoa??? Endelea ujue uchungu wa kupigiwa .....shauri yako!
Back
Top Bottom