Search results

  1. castieltsar

    Car4Sale Toyota Rav 4 2002

    2002 Toyota Rav 4 · Suv · Rav4 special edition England version Engine 2Az ni mpya imebadilishwa toka 1Az 220km/h Sunroof available Full documentation ,arusha 9.8million Whatsapp / call +255655402364
  2. castieltsar

    Nashangazwa kuona takwimu za Clatous Chama kwenye makundi CAFCL kutotajwa

    Nilikuwa napita kwenye page za wana michezo mbali mbali na kuona takwimu huku watu kama Luis Jose (Simba SC) themba zwane(mamelodi), ben romdhane(esperance) ,el kaabi (wydad casablanca) wakitajwa kama watu wenye takwimu kubwa za magoli na assist ila Clatous Chama Triple c mvp wa VPL msimu wa...
  3. castieltsar

    Nauza saa za ukutani

    Ni saa ambazo unaeza ukachagua mchanganyiko wa rangi yeyote ile uipendayo au inayoendana na kwako...ukubwa wake ni 55cm .. bei yake ni laki moja (100000) napatikana Arusha, Usa-river namba za simu ni 0655402364.
  4. castieltsar

    Keys to success by B.C. Forbes

    Huu ni ushairi wa B.C.FORBES ambaye alikuwa ni mwandishi wa maswala ya kifedha na pia ndie mwanzilishi wa FORBES MAGAZINE ushairi huu uliandikwa mwaka 1917 lijulikanalo kwa jina “keys to success” Mafanikio yako yanategemea wewe. Furaha yako inategemea wewe. Lazima uwe muelekeo wako mwenyewe...
  5. castieltsar

    Msaada: Ndoto kama hizi zinawatokea au ni mimi tu!

    Habari zenu wadau Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa miaka kaadhaa sikumbuki ilianza lini ila ni zaidi ya miaka mitano kuna mwanamke namuota ila sijawahi kuonana naye kwenye maisha ya ukweli kabisa ila amekuwa akinitokea mara kwa mara ndotoni, ni mwanamke alienizidi umri kwa kumuangalia...
  6. castieltsar

    Nafanya decoration kwa kutumia epoxy

    Natumia epoxy resin kwenye mbao na chuma kutengeneza saa za ukutani ,meza (kwanzia coffee table hadi zile kubwa kabisa)serving boards,stools pia naweka countertops za maofisini ,jikoni, bar na restaraunt na hotels mbalimbali ......kwanzia transparent kama kioo pia na rangi tofauti zaidi ya 40...
  7. castieltsar

    Naomba kufahamu taratibu, gharama, muda wa kusomea cisco networking

    Naomba kufahamu taratibu, gharama, mda wa kusomea cisco courses kwanzia moja ccna mpaka ya mwisho naomba kujua nitashukuru zaidi
  8. castieltsar

    Natafuta laptop

    Jamani habari zenu wanajamvi Nilikuwa natafuta laptop hdd500 nakuendelea, ram 4 na 8 ,procer speed 2.1 ghz aina ya rama intel core i5 na kuendelea iwe nzuri betri iwe poa iwe nauwezo hata wakukaaa masaa matatu na zaidi
  9. castieltsar

    Certificate ya agriculture

    Nilikuwa nahitaji kuchukua certificate ya agriculture nina qualification zote je ntapitia process zifi naomba kujuzwa
Back
Top Bottom