Search results

  1. Donkere91

    Ununuaji na uagizaji wa bidhaa online

    Habari za siku nyingi wana familia? Sina mengi ila naomba kuuliza kuhusu yule jamaa alikua anasaidia delivery ya bidhaa kutoka ktk online market zisizo safirisha bidhaa kwenda P.O Box. Mfano (amazon,e-bay na wengineo). Huyu jamaa bado yupo active humu ndani?.
  2. Donkere91

    Wapi nitapata mabasi yanayoenda Mtwara kutokea Dsm?

    Wadau wa Jf naomba msaada tutani,ni wapi napata mabus yanayoenda mtwara kutokea dsm,ofisi au namba za mawasiliano... msaada wa haraka plz
  3. Donkere91

    Wivu wa mapenzi: Je, ni sahihi wapenzi kufuatiliana mawasiliano ya simu?

    Wadau naomba mawazo yenu ktk hili... Je ni sahihi mpenzi wako kufuatilia kwa siri mawasiliano yako ya simu kupitia rafk yake mweny access hyo ktk ma kampuni ya mawasiliano...na je ukijua kafanya hvo uta chukua hatua gani?? Na kama je mpenzi wako ndio mweny hyo access na ukajua amekua...
  4. Donkere91

    CONAS -GEOLOGY DEPARTMENT

    Kwa wale wa university of dsm especially first year waliochaguliwa kujiunga CONAS katika department ya GEOLOGY. HAPA MKUTANE MPATE KUPEANA UPDATES ZA MWANZO MWANZO. Mnaoendelea na mwka wa pili na watatu mnaweza toa majibu au mawazo kama mkiona msaada wenu unahitajika. KARIBUNI
  5. Donkere91

    Msaada: Sioni baadhi ya vyuo NACTE

    Wadau msaada plz mwenye idea kuhusu hili,mana NACTE wamefungua usajili tyr lkn baadhi ya vyuo hamna mfano: UDSM,UDOM,SUA ...havipo ktk list yao.
  6. Donkere91

    Mafua yasiyoisha, nini tiba yake?

    Habarini wana JF yaani ninatatizo la mafua kilasiku pua kuziba au muda mwingine yanatoka makam*si...ila kila siku nipo na mafua...kuna dawa gani itasaidia...au sababu inaweza kua ni nini!? Kuna mtu anakitu kama hiki!??
Back
Top Bottom