Search results

  1. E

    Gari aina ya Nissan Note namba D, 1300cc inauzwa

    Nissan Note namba D, haina tatizo lolote 1300cc, Millages 170,000Km Ya mwaka 2005. Bei 6.7M, mazungumzo ni madogo sana. Njoo PM kwa mazungumzo Ipo Mwanza, Unaikagua mwenyewe au njoo na fundi wako.
  2. E

    Nataka kulikomboa Jimbo la Moshi vijijini

    ....
  3. E

    Someone serious aje tufanyee biashara.

    Wakuu. Mimi ni mtaalamu wa usindikaji wa chakula. Nimesomea BSc Food science and technology , SUA. Nahitaji mtu wa kufanya biashara katika hizi zifuatazo. 1. Pombe aina ya wine ila siitaji wine ya mmea upi hapa. Nifanya tafiti nikaona itakuwa vizuri km ikifanyika Dar kutokana na soko lake kuwa...
  4. E

    Dharau ulizokumbana nazo za Ma sekretari Ukiomba Kazi

    Wakuu, habari.. Ni changamoto gani na dharau ulizokumbana nazo kwa masekretari pindi unapeleka barua ya kazi au unashida na HR au manaja? Mimi ilikuwa mwaka jana katika kiwanda cha kuchakara samaki hapa Dar. Ilikua majira ya asubui mida ya saa tatu. Kwanza kimbembe cha mlinzi ilikua balaa...
  5. E

    Utapeli wa Mwakyembe wa Sh. Bilioni 2 wamwagwa hadharani

    Ni habari toka gazeti la dira. Gazeti hili sina shaka nalo kwani limesha andika habari nyingi zenye ukweli na hata kumfanya mweshimiwa Rais kuchukua hatua. Nafikiri nyote mbakumbuka habari iliyo mtoa Katibu kiongozi Omben Sefue, habari ile ilitoka kwenye gazeti hili. Inaweza kua ilikua ni...
  6. E

    CCM Mpya yaja, CCM yenye Neema Zaidi

    Naandika haya nikiwa na furaha kubwa, furaha ambayo sikuwahi kufikiria kama inaweza kuja kutokea. Anaye nipa furaha ni mtu mmoja tu. Mtu ambaye sikuwahi dhania atakuja kuwa kiongozi wa nchi hii. Miaka ya nyuma kidogo niliamini chadema kama chama chenye misingi na sera za kumkomboa mtanzania...
  7. E

    SWALI: Sababu ipi inakufanya Uamnini Upinzani?

    Wanabodi habarini. Ni swali tu sina maana nyingine. Kipi hasa kinakufanya uamini upinzani? Je unaamini upinzani wangefanya nini hasa ambacho Magufuli hawezi kufanya? Unapenda upinzani ili tu kiu yako ya wao kushika madaraka itimie au unataka nini hasa? Ni vema tukajiuliza hayo maswali...
Back
Top Bottom