Naandika haya nikiwa na furaha kubwa, furaha ambayo sikuwahi kufikiria kama inaweza kuja kutokea.
Anaye nipa furaha ni mtu mmoja tu. Mtu ambaye sikuwahi dhania atakuja kuwa kiongozi wa nchi hii.
Miaka ya nyuma kidogo niliamini chadema kama chama chenye misingi na sera za kumkomboa mtanzania. Niliamini hivyo hasa pale unapomsikia Dr Slaa akiwatetea watanzania wanyonge kwa uchungu.
Nilivunjika moyo pale nilipo ona siasa zinabadilika katkka kipindi kile cha uchaguzi mkuu.
Kiukweli sikuzielewa zile sarakasi za chadema katika kupata mgombea atakaye peperusha bendera ya urais.
Pia niwe mkweli kwamba nilimpigia Rais magufuli si kwasababu nilikua namkubali kipindi hicho, bali hasira zangu kwa lowassa na genge lake.
Anyway hayo yamepita, hayana umuhimu kwangu kwa sasa.
Muhimu kwangu ni haya ambayo nayashuhudia, nashuhudia nikiwa siamini macho yangu kwamba ni kweli au ndoto.
Sikutegeme hata siku moja kwamba atatokea Rais toka ndani ya ccm atakaye pambana na rushwa na ufisadi kwa dhati.
Rais John Magufuli ndiye aliye nishawishi kujiunga kwa mara ya kwanza katika chama cha siasa, CCM.
Nimejiunga ndani ya ccm baada ya kuona kisingi yake inarejea taraatibu.
CCM mpya inakuja, CCM yenye neema iliyo na misingi dhabiti inakuja kwa kasi pale ambapo Rais atakua mwenyekiti wa chama.
CCM ya Magufuli ni CCM ya misingi yake aliyo iacha Baba wa Taifa.
Bado nasubiri kupata furaha zaidi kwenye CCM ya Magufuli.
Wasalaam.