Wanabodi habarini.
Ni swali tu sina maana nyingine.
Kipi hasa kinakufanya uamini upinzani?
Je unaamini upinzani wangefanya nini hasa ambacho Magufuli hawezi kufanya?
Unapenda upinzani ili tu kiu yako ya wao kushika madaraka itimie au unataka nini hasa?
Ni vema tukajiuliza hayo maswali kwasababu mm pia nilikuwa mmoja ya wenye imani ya upinzani kwa kupigania yale ambayo nilitamani yasiwepo hasa rushwa na ufusadi.
Lakini kwa sasa sion haja ya kuunga mkono upinzani wakati Rais anatekeleza yaliokuwa yanapiganiwa.
Na siku ikitokea Magufuli akipoteza uelekeo sitaungana nae.
Niwakati wakutafakari tunapeleka taifa wapi kwasasa.
Hivyo nataka kujua nini kinakufanya uamini upinzani?