Search results

  1. M

    Naomba kufahamishwa gharama ya kureplace leseni iliyopotea

    Nimepoteza leseni ya gari sasa. Nilikua naulizia gharama za kupata replacement zipoje?
  2. M

    Hili tusi la Siku hii ya Valentine limenitafakarisha

    Kweli mkuu, wengine wazazi walijinyima hizo nyumba na magari ili tuende shule nzuri. Japo sijafanikiwa ila nadhani nipo indebted kwa wazazi wangu kama nitafanikiwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Sawa mkuu, hopefully itatokea nafasi siku moja. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Mkuu hamna vacany za civil engineering hata za intern. Maana tokea nimemaliza sijapata hata mahali pakutafutia experience mimi graduate. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Mwenye ufahamu na Provisional Certificate ya Bachelor Degree

    Chuo chetu wanadai wanaagiza kutoka Uk ili kuepusha kufoji vyeti.
  6. M

    Mwenye ufahamu na Provisional Certificate ya Bachelor Degree

    Nimemaliza chuo mwaka huu pale Mbeya University of Science and Technology. Bahati mbaya nilikuwa na Sup ambayo nilifaulu ila system ya chuo ilisumbua kwenye kuweka matokeo yangu. Baada ya kufatilia wakaniwekea matokeo yangu Jumatano iliyopita. Shida inaanza Examination Officer ananiambia...
  7. M

    Magufuli atashindwa uchaguzi wa mwaka 2020

    mkuu umekula maharage ya wapi leo
  8. M

    Flyover bila hesabu ni hatari, hapo ni TAZARA leo hii

    mkuu anayejenga anaimplement design, kama miundombinu ya drainage haikuwepo kwenye drainage system contractor anaweza kusuggest kama anaona kuna ulazima ila nadhani kosa hapo si la contractor bali aliyefanya design.
  9. M

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Acha uongo kaangalie vizuri kwenye website yao Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Ishu kubwa hapa ni inferiority complex. Kuna watu hawataki kuguswa hata wakivunja sheria. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Siku nyingine mfuate sheria kuepusha hasara.. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Tukumbushane zile "SCHOOL MOTTOS"

    Knowledge is wealth Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Kumbe wanaume msiopenda wake zenu wafanyekazi bado mpo!

    Mwanamke alikuwa anafanya kazi gani usikute alikuwa anauza baa.. kuna kazi nyingine sio nzuri kwa wake za watu.
  14. M

    faida ya institution of engineering ni nini?

    Nitajisajili ila ningeomba uniambie inasaidia vipi mhandisi.
  15. M

    faida ya institution of engineering ni nini?

    mods naomba mnibadilishie kichwa kisomeke, faida ya institute of engineering tanzania ni nini? Moderator
  16. M

    faida ya institution of engineering ni nini?

    Nimeuliza hivi kwa sababu chuoni kuna fomu ambazo hao viongozi wa institute of engineering wanagawa na unalipia tsh 5000 kwa ajili ya cheti bila mafunzo wala bila kufanya kitu chochote. Nilipo jalibu kuwauuliza walisema eti inasaidia kuwa registered na bodi ya engineering kwa urahisi je kuna...
Back
Top Bottom