Search results

  1. agatthi

    10M biashara ipi ifanyike kwa mji wa Katoro, Geita?

    Habari Waungwana! Nina 10M nifanye biashara ipi kwa mji mdogo wa Katoro? Hiyo hela itahusisha gharama za pango + maandalizi yote ya frame. Biashara itakayosimamiwa na mtu wa jinsi ya kike kwa asilimia kubwa. Nawasilisha. Napitia michango yenu.
  2. agatthi

    MSAADA: KUONGEZA SAUTI

    Jamaa yangu ana kisauti kidogo. Hivi kuna namna ya kuongeza utoaji wa sauti? Base/Tone yake ndogo sana. Wajuvi wa mambo mje! Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  3. agatthi

    Wilaya mpya ya Kisesa-Mwanza

    Kuipata Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara Imefanyika kama ifuatavyo. Wilaya ya Misungwi imetoa Kata 04 yaani 1. Kata ya Idetemya 2. Kata ya Usagara 3. Kata ya Fella 4. Kata ya Kanyerere. Wilaya ya Magu imetoa yaani 1. Kata ya Kisesa 2. Kata ya Bujora 3. Kata ya Bukandwe 4. Kata ya Bujashi 5...
  4. agatthi

    Kuhama kutoka LGA kwenda MDA

    .
  5. agatthi

    Natafuta kiwanja cha kununua maeneo ya Kisesa au Igoma

    Habari za humu jamvini. Natafuta kiwanja cha kununua maeneo ya Kisesa au Igoma. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom