Andika barua inayopitia kwa mkurugenzi kwenda kwenye hiyo bodi unayotaka kuhamia ya kuomba nafasi ya kuhamia Sababu andika nahitaji kubadilisha ujuzi wa kazi kufanya kazi na watu tofauti tofauti Yani hapo kwenye Sababu ziwe strong, zen mkurugenzi akipitisha unaituma au kuipeleka kwenye hiyo bodi wakikujibu nafasi ipo unaandika barua nyingine kupitia kwa mkurugenzi kupitia kwenda kwa katibu mkuu utumishi na unaambatanisha barua uliyojibiwa kwamba nafasi ipo, Kama nimekosea wengine watanikosoa na kujazia nyama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.