Search results

  1. pula

    Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

    ihungo high school..pia ilikuwa ya wakatoliki
  2. pula

    Makamu wa Rais Mama Suluhu,Rais Mstaafu J.Kikwete washiriki msiba wa mjukuu wa Rais Magufuli

    RIP mtoto mary..tulikupenda ila mungu amekupenda zaidi..poleni wazazi...mipango ya mola haina makosa
  3. pula

    Baada ya Wizara ya Fedha na Muhimbili, Wafuatao ni...

    hongera rais...umebakiza bandari..ili mawaziri utakaowachagua wajue ni kasi gani inayotakiwa.kweli wewe ni kiongozi ...
  4. pula

    JK Kawageuka Museveni,Kagame?

    Watz tuwe waelewa..hv tunawajua kagame na mseveni..leo wako kivu..kesho utawsikia wako rusumo na misenyi...hogera JK tuanze kujenga heshima ya tz ...ni kwa kuwafuata huko walipo..kumbukeni jeshi la rwanda kwa sasa lina idadi kubwa ya askari..watawamudu vp ndani ya nchi yao...ni kwa kuwatafutia...
  5. pula

    VIDEO: CCM wananitishia maisha - Rev. Munishi

    Mchungaji Faustin Munishi. Ametamka kwamba atagombea Urais Tanzania bila chama cha kisiasa. atakuwa Mgombea Huru bila siasa. Atakapokuwa Rais atagawana madaraka na Jeshi, pia wadau wote hasa wapiga kura. Ukiritimba wa CCM kutumia madaraka vibaya utakuwa kwenye kaburi la sahau. source:Gospel Kitaa
  6. pula

    Mabomu Zanzibar.

    wanadai serikali ya JMT ilichelewa kuokoa majeruhi na mali...kwa hiyo hawaoni umuhimu wa muungano..kazi hipo..lets them go!
  7. pula

    Uamsho watawanywa kwa nguvu na FFU viwanja vya Malindi ZNZ

    chondechonde makanisa yetu jamani...sigeuzie hasira huko..sasa hivi nendeni mkachome kwa hao wanaowapiga mabomu
  8. pula

    Siasa imenifikisha hapa: Je Mwanza Airport ni International au Sio?

    nafikiri 2015 haya malalamiko tukiyapeleka kwenye masanduku hata waibe vp..haziishi
  9. pula

    Kova: Kelele Zenu Ni Bure, Ahmed Msangi Ni Mtu Safi. Lazima Aongoze Tume...

    kwa barua hii, kova milembe inakuitaji
  10. pula

    Hongera Tundu Lissu: Hoja ya kurudisha Tanganyika!

    yah..imefika wakati watanganyika tuseme ukweli,,kwa muda mferu tumekuwa kimya kama silaha ya kuulinda muungano..udhaifu huu umewajenga upande wa pili kujiona kana kwamba sisi tunanufaika na huu muungano..wamekuwa wakisema maneno makali hata tukiwa makazi..tumeonyesha moyo wa unyonge kuepusha...
  11. pula

    Lala ila linda usivunje mbavu zoteeeeeeee!

    ahhhh...aaahhhh...ahhhh...hiyo ya mashine ya diesel chiboko...
  12. pula

    Je kuna wanajeshi jamiiforums?

    wanaita wao beba dunia....
  13. pula

    Hey!!!! Pugu Boyz wa enzi zileee na wasasa

    maisha ya kungojea uda na chai maharage toka kisarawe pale kwa mzee wa shamba ili kwenda town..na ukitoka town unabeba kidumu cha maji ya kunywa lita tano...ilikuwa bonge la deal....maisha ya scramble za menyu na n.k
  14. pula

    Statement ya Mhe. Zitto Kabwe : To the Ministers-Nothing to Celebrate, go to work

    excellent advice..nyie kafungueni vyupa tu kusheherekea...kumbukeni 2015 is around the corner
  15. pula

    Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

    nimeipenda....pia hii ianzie hata kwenye familia zetu..tutoe elimu ya kutosha ya M4C...ikifika 2015 kazi iwe rahisi
  16. pula

    Jamuna bridge

    Leo nimebahatika kutembelea daraja hili lililopo nchni bangladesh.Lina urefu wa 4.8km likijuisha jumla ya span 49. Daraja hili ni kwa ajili ya magari na treni. Lilianza kujengwa Oct 94 hadi Jun 98. Daraja hili ni chanzo cha mapato ya wananchi wa bangladesh.Kila gari linalopita linalipia...
  17. pula

    Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

    Mulamula ni nani? na kazi zake ni zipi
  18. pula

    Kazi ya Vice Prezdaa ni nini?

    kutembea na mkasi mfukoni tayari kwa kuzindua...pia na kitambaa cha kupiga goti wakati wa kupanda miti..hizi nafasi nyingine ni kupoteza fedha za watanzania
  19. pula

    Simba vs setif live hapa

    kweli simba ni hippopotamus of arabs
Back
Top Bottom