Search results

  1. Mtoto mzuri

    Kafulila: CHADEMA hawana lolote, Dola iwashughulikie, Kikwete usiwape kichwa!

    :rain:Wavunja sheria wapo serikalini tena wamejaa kibao na kujificha katika mwevuli wa serikali yao, hii haikubaliki. waadabishane kwanza wao ndipo waje uraiani!
  2. Mtoto mzuri

    Kizazi Cha Sasa Hivi Bwana!

    Yaani imenichekesha hadi natoa machozi...naomba kujua zinakopatikana picha za aina hii pls
  3. Mtoto mzuri

    Kinara wa ufaulu Chuo Kikuu Dar es Salaam 2010

    Sina uhakika/imani sana na calculation za GPA UDSM. Inawezekana ana 4.7 but hizo marks zake ukisipeleka chuo kingine ni 3.5...bu anyway kwa chuo chake hongera
  4. Mtoto mzuri

    Hi

    You are too young....kama shule basi bado unasoma na huko ndo pa kupatia wapenzi...kama umeshindwa kupata huko...duh..
  5. Mtoto mzuri

    Binti afia gesti,Kinondoni!!!

    ndiyo....unaposikia kuwa uyaone sio maghorofa na maTV, ndo hayo sasa............
  6. Mtoto mzuri

    House boy: James

    Nimeipenda hiyo....poor boss
  7. Mtoto mzuri

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Kaaz kweli kweli...............tunapigwa mchanga wa macho hivihivi
  8. Mtoto mzuri

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Yaan mie hadi mnanichekesha badala ya kunisikitisha, ulimwenguni kote nani hamjui nyerere kwa sifa nzuri alizokuwa nazo? mnataka kusema huyu mndengereko mlomweka hapo kila leo kwenda kutalii nje ndo anaefaa? Mambo mnayoyaona leo ni kwa sababu ya mabadiliko ya kitechnolojia so hata nyerere...
  9. Mtoto mzuri

    Sauti ya dr wilbroad slaa

    Dar lini jamani na mimi nijoin hayo maandamano....kama wataniua waniue tu...kama walivozoea kupiga watu wasio hatia risasi za moto
  10. Mtoto mzuri

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Wapendwa hili ni changa la macho.....mmiliki wa kuchonga huyo....watanzania tufungue macho
  11. Mtoto mzuri

    Kikwete anamfahamu Al Adawi!

    Hili ni changa la macho...JK alikiri mbele ya kadamnasi kwamba hamjui mmiliki wa dowans...na siku zote walisema hawamtambui mmiliki, na huyo mwarabu aliyekuja anadai kuwa mchongo wa dowans alipewa na rafiki yake wa miaka mingi Mr. Rostam, na dowans aliinunua kutoka richmond ambayo ilidaiwa kuwa...
  12. Mtoto mzuri

    Disturbing photos from the 'Gongo la Mboto' blasts

    inawezekana mwenye huo mkono hajafa kwani jana walionyesha mmama yuko muhimbili mkono wake ulikatika
  13. Mtoto mzuri

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    wataishia kuunda tume tu
  14. Mtoto mzuri

    Jamani ebu tuwe wakweli kuna jambo gani linaloburudisha mwili na roho zaidi ya hili??

    Kila kitu ni priority.....kama umepriotize ngono ndo itakuwa kuzuri...ila kila mtu ana his/her likes
  15. Mtoto mzuri

    Tatizo si Kikwete na uelewa wake bali chuo kikuu alichosoma!

    hiyo ndo inayowaponza kujiona wao ni cream then wanaishia GPA za mbili....... chuo kikuu hakuna cha kusema ulikwa cream wala mtindi wote mnaanza upya....
  16. Mtoto mzuri

    Aibu rais kulala hadharani!

    Hkuna cha kuchoka na safari....nyie hamumjui vizuri huyu jamaa, ucheck bob umemzidi huenda alikesha disco...manake kwa kujirusha tu raisi tunaye
  17. Mtoto mzuri

    Kabakwa live

    Kaazi kwelikweli.....kila mmoja hapo alikuwa na hamu...hakuna aliyebakwa hapo
  18. Mtoto mzuri

    Spika: Milipuko ya mabomu Gongo la Mboto sio jambo la dharura!

    Huyo mama kiazi kweli.......muone sura kavu kaa ndimu...yangetokea ikulu yaha tungeona jinsi ambavyo wangehaha...kwasababu limetokea kwa mtanzania maskini..ni poa tu
Back
Top Bottom