Hakikisha anatakiwa kufahamu yanmhusu tu kuhusu wewe. ficha mshahara wako/kipato, mpende,mshirikishe kwenye baadhi ya mambo ya muungano,mpe zawadi,msifie,acha kodi ya meza ni muhimu
n.b usiache kumnyandua,hakikisha kila siku unamnyandua hata kimoja kile cha asubuhi
Ingekuwa ni mtoto wako usingeharisha hapa, au wewe ndio mkuu unajitekenya mwenyewe. Hatuwezi kuruhusu mateso shuleni hizo zamani mulipokuwa munachapwa ndio mumezalisha makatili kama JPM mumtengeneza wasomi waoga leo kazi yao ni kusifu tu maprofesa wanaojiita chawa. Waache wanafunzi wasome kwa ku...
Wale wanachokifanya wanacheki na suppliers kama kitu kinauzwa Million 2 wanakuambia andika nne mbili za kwake kwa hiyo usishangae items za 40M zinakanunuliwa kwa 80M hii nchi ukijifanya mpole ,mzalendo,mlokole,mfia dini unakuafa masikini.
Maana wanasiasa wanaifaidi sana hii nchi na kujifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.