Search results

  1. Mujumba

    Mtangazaji BBC, Salim Kikeke kadhalilishwa vibaya mtandaoni

    Picha iliozagaa katika mtandao wa facebook, ikimwonyesha mtangazaji mashuhuli wa idhaa ya kiswahili ambae ni raia wa Tanzania; Salim Kikeke imezua mjadala mzito. Picha hiyo ambayo Kikeke aliipiga akiwa amesimama na mrembo ambae juzi alitwaa taji la miss dunia, imemsikitisha sana bwana Salim...
  2. Mujumba

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    MBEYA MJINI: Matokeo kamili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. 1. CCM - 77. 2. Chadema - 72. 3. NCCR - 2. Mitaa 77 + 28( CCM tulipita bila kupingwa) = 105. Mitaa 2 uchaguzi utafanyika wiki ijayo. Mitaa hiyo ipo Mwansekwa na Itiji. Jiji la Mbeya lina jumla ya Mitaa 181. Asanteni sana Wakazi wa...
  3. Mujumba

    Hivi kwanini wahitimu wa Udom wanapata ajira sana

    Niseme tu wazi mimi nimesoma UDSM, Ila sifurahishwi na jinsi ambavyo wahitimu wa udom wanavyopewa upendeleo ktk soko ajira kwasasa kuliko vyuo vingine au upendeleo? Hivi karibuni nilikuwa nchini Botswana na Korea, nilibahatika kukutana na vijana wa Kitanzia wanaofanya kwenye mashirika ya USAID...
  4. Mujumba

    LADIES, Before you date a MARRIED MAN you should know this: (Must read and share)

    huna lolote, inaonekana wewe ni mwizi wa mabwana za watu unataka kujifaragua tuu, kuna future gani kati ya mume wa mtu na wewe kimada??
  5. Mujumba

    Mhusika wa tukio la arusha haihitaji hata senti kumjua: Tuanze na mwigulu nchemba

    "MTAZAMO WA KIJASUSI" Bomu wamerusha chadema wenyewe kwa kuwatumia gaidi wao mmoja kati ya hawa 1. Ben saa nane huyu alisomea somalia namna ya kutumia mabom ya mikono 2.Deusi aman jr huyu alisomea kutumia risasi na kuvunja watu shingo LIBIYA So baada ya Beni saa nane kurusha bom huyu alimkava...
  6. Mujumba

    UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

    mdini namba moja hapo Udom DVC prof Shaban Mlacha ambaye inasemekana ameoa dada wa Kikwete! Mwingine ni dokta Kambuga ambaye ndio ameonekana kwenye ile Cd ya waislamu wa udom iliyopelekwa Bungeni na Mh 30
  7. Mujumba

    TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

    mbona mnarudia rudia sana post, post kama hii nimeiona tangu jana kule jukwaa la hoja mchanganyiko! jengeni utaratibu wa kupitia majukwaa kabla ya kukurupuka!
  8. Mujumba

    Wawili wauawa Arusha

    sio kweli Ngiloi hana ubia na Riz1, ngiloi ameanza ujasiriamali kwa muda mrefu sana pengine Riz akiwa bado yupo shule! Tusiwe na wivu wa kike kuona mtu hawezi kuendelea bila kuwezeshwa! Kesho mtasema Bilionea Laswai wa Moshi pia anawezeshwa na Riz 1
  9. Mujumba

    Wawili wauawa Arusha

    panone ni Bilionea ni zaidi ya mfanyabiashara, anamiliki petrol station zaidi ya 20 ndani na nje ya nchi!huwa analeta meli nzima ya mafuta mwenyewe. Kama amekufa kweli apumzike kwa amani
  10. Mujumba

    TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

    kama unafahamu zaidi, tuletee hapa watu wafaidike zaidi
  11. Mujumba

    Things women should never ever do

    THINGS WOMEN SHOULD NEVER , EVER, DO 1. Do not shave off your eyebrows only to redraw them with a pencil… it makes no sense 2. Do not put on too much make up, you end up looking like you came out of the make-up factory. 3. Do not wear a vest or sleeveless top without shaving your armpits...
  12. Mujumba

    Wakati swala la ugaidi halijaisha, wengine wakamatwa ndani ya gari la M4C

    au watasema ni mwigulu kazitegesha humo na wana ushahidi wa mawasiliano hahhaaaa
  13. Mujumba

    Wakati swala la ugaidi halijaisha, wengine wakamatwa ndani ya gari la M4C

    Makada wawili wa CHADEMA wamekamatwa na dola huko Mwanza, walikuwa kwenye gari la M4C. Source: MAGAZETI YA LEO TUKIJIKUMBUSHA HUKO NYUMA Diwani wa chadema aliwahi Kamatwa na SMG Tarime,Mwingine Akitorosha Cement isiyolipiwa Kodi,Kyela ujambazi,Jana Mwanza Dola Feki na Mengine Mengi,Vyama hivi...
  14. Mujumba

    she is sweet but i don't call her sweetheart!!!

    Oh no! At first I could not understand whysomeone would call a grown man “honey” “sugar” or “sweetie” because it seemedweird. I could only say that to our babies. As time passed, I realized that she is actually a sweetheart, but it was too late for me to start using thosenames because she would...
  15. Mujumba

    she is sweet but i don't call her sweetheart!!!

    Oh no! At first I could not understand whysomeone would call a grown man “honey” “sugar” or “sweetie” because it seemedweird. I could only say that to the babies. As time passed, I realized that she is actually a sweetheart, but it was too late for me to start using thosenames because she would...
  16. Mujumba

    Tujikumbushe: Taa zilipozimwa Tanga

    sitakaa nisahau siku hiyo....sijawahi kushikwa na woga maana bastola zilikuwa nje nje! Marando ni mtu hatari sana wa kuogofya
  17. Mujumba

    Wenje na Kiwia wanafanya nini Mwanza?

    mbona huku Moshi tulimchagua Ngasa kuwa diwani wa kata maarufu ilhali ni Msukuma, mbona pia tulimchagua Bebwa kuwa diwani wa kata ya soweto ilhali ni Mhaya? Tanzania hakuna ukabila bwana watu tunaangalia vigezo na sera
  18. Mujumba

    Uhuru, Ruto meet Odinga and Kalonzo!

    picha inatoa somo zuri sana kwa chadema! kuwa siasa si vita, na nivizuri kukubali kushindwa na kujenga nchi kwa pamoja
  19. Mujumba

    Wanaume za Watu Wamepanda Bei Sana Siku Hizi?

    naunga mkono hoja! na alaaniwe yule aziniye na mke au mume wa mtu! kwa jina la yesu nakemea hilo pepo la ngono
Back
Top Bottom