Search results

  1. C

    Sheikh, Prof, Dr, AlHaj. Jammeh aondoka Gambia

    alichokifanya Ni kizuri!! naona west Africa sio sir wamestaarbika nch nying mshind halal ndo hutangazwa, kuanzia Ghana, nigeria, senegal, Gambia tofaut na maeneo mengine ya afrika mfano mzur Zanzibar..
  2. C

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge

    aisee atakuwa anashukuru sana kutumbuliwa maana kutoka kuwa MKUU wa mkoa had ubunge sio sir kapanda cheo...nashukuru magufuli Kwa k unitumbua kwenye ukuu wa mkoa ( in kilango voice)
  3. C

    Kwanini baada ya makosa imebidi panga limshukie Dr. Possi?

    huwez fananisha ubunge na ubaloz kwa kweli.. ubunge una hadh kubwa kuliko ubaloz!! ndo maana ukifka wakat wa uchaguz mabaloz wengine hurud nchn kuomba kuteuliwa kuwa wabunge!! kule anaenda kukalia bench Kwa kweli.. pole yke Kwa kutolewa sadaka.
  4. C

    Senegal kuingia Gambia Ifikapo saa 6 kamili usiku

    unaifahamu Gambia kijiografia ilivyo!! hizo nxhi zingne haziwez kwenda Gambia bila kupita Senegal...nadhan umeelewa maana yangu otherwise waseme majesh ya ecowas
  5. C

    Pole sana Agnes Masogange kwa ajali

    kweli maeneo mengine yko salama...
  6. C

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    sio kule kwetu tuna liita lipingang'ombe kwan anaweza gonga hata ngombe ishirin atiiii
  7. C

    Kafulila: FAO na BOT hawakusikilizwa kuhusu njaa

    bado magereza billion kumi!!!
  8. C

    Waambieni vodacom msimu wa sikukuu umeisha

    Shule zingne zinafungua tar 16/1/2017, so stl wengne wapo likizo... na bado tupo msimu wa sikukuu Jana tar 12 si ilikuwa sikukuu ya mapinduz bado tar 5/02/2017 Ni ckuu ya kuzaliwa ccm...
  9. C

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku ‘tinted’ kwenye kioo cha mbele ya gari

    hebu mtuwekee Picha ya hio tented ya kioo cha mbele maana kama cjaelewa hiviiiii
  10. C

    Kwenu ninyi wakuu wa shule za sekondari

    ungeitaja Shule ili aweze saidiwa!! au angeenda Kwa AFISA Elimu huo msala ungeisha kabsa...
  11. C

    AZAM hamnitendei haki kwa hizi chupa za juice

    waliwadisainia watoto, si unajua wanapenda kujirambaramba, sasa we mtu mzimaa kaz IPO.. .. (jokes(
  12. C

    Je, ulishawahi kupotea kutokana na kutoijua sehemu unayokwenda? Na ilikuaje hebu tiririka hapa

    Ndugu zangu wana JF, Leo ningependa watu to share vile vitu, vituko vilivyowahi kutukuta kutokana na kutoijua sehemu unayokwenda iliyopelekea kupotea au kupata shida. Binafsi niliwahi kupotea kwani nilikuwa natoka Moshi kwenda Arusha na nikaambiwa nishuke Arusha tech, katika kuuliza uliza...
  13. C

    Mokiwa ana tuhuma za jinai, Askofu wa jimbo atishia kuweka nyaraka hadharani

    this is church politics, hapa naona ni vigumu kujudge yupi yupo sahihi???tuache tujue mwisho wake,
  14. C

    Jirani yetu anaumwa sana lakini hawa ndugu zake hawampeleki hospatal

    kma asingemtibia na Pesa zipo angebak na guilty maisha yake yote. Ni muhimu kuonyesha jitihada
  15. C

    Jirani yetu anaumwa sana lakini hawa ndugu zake hawampeleki hospatal

    acha kujishughulisha na mambo ya watu!! mtu wa miaka miaka hyo maradhi Ni kawaida SNA. hata akipelekwa hospi still atarud kuhudumiwa home!! yawexkana kabla ya kuja hapo alikuwa anatibiwa somewhere!!
  16. C

    Ahueni: Mvua kubwa zanyesha Morogoro. Kwingineko imenyesha?

    Niko huku Kwa watu wanasema Pesa ilizaliwa kwao mvua hakuna kabsa mazao yanakauka kau
Back
Top Bottom