Search results

  1. M

    Nafasi za kazi mpya

    Habari wana jamii wenzangu naombeni msaada wenu kwa yeyote anayeweza kunisaidia kazi au kunipa connection ya kazi niko Moshi nimesoma Diploma ya social studies. Asanteni.
  2. M

    Ninauza na kutengeneza keki za aina mbalimbali

    Habarini wana jf ninauza keki nipo Shinyanga kwa wanaohitaji, pia natengeneza keki kwaajili ya birthday, kipaimara, komunyio, na sherehe mbalimbali kwa bei nafuu kwa anayehitaji tuwasiliane PM.
  3. M

    Natafuta kazi, nina diploma ya social studies

    Habari wana jamii Nina Diploma ya social studies, nipo Tanga Natafuta kazi iliyokuwa ya halali, tafadhali.
  4. M

    Natafuta kazi nimesoma diploma ya social studies

    Habari wapendwa natafuta kazi yoyote ya halali nimesomea diploma ya social studies, nipo mkoa wa Shinyanga.
  5. M

    Natafuta kazi

    Habari wana jf ninatafuta kazi nimesomea sayansi ya jamii Niko Shinyanga yoyote mwenye kuweza kunisaidia ani PM.
  6. M

    naombeni msaada kwa hili

    habari zenu wanajamii naombeni mnisaidie nimesoma diploma ya social studies natafuta kazi kwenye NGO's hata yakujitolea nipate tu ya nauli nipo Tanga. Email: madata84@gmail.com
  7. M

    Diploma in Procurement and Logistics Management.

    Habari zetu wana jf, ninaomba msaada kwa yoyote yule anayeweza kunisaidia nina rafiki yangu anatafuta kazi amemaliza Diploma ya Procurement and Logistics Management katika chuo cha Tanzania Institute of Accountancy (TIA) mwaka huu, yuko Arusha kwa sasa kwa yoyote anayeweza kumsaidia ani PM, yuko...
  8. M

    Changamkieni hii dili

    Bofya hii link kwa matokeo zaidi. Redirect
  9. M

    Msaada wapi zilipo office za Ifakara Health Institute hapa Dar

    Habarini wana jf naomba kwa anaefahamu ofisi za Ifakara Health Institute kwa hapa Dares salaam anielekeze tafadhali. Asanteni.
  10. M

    Njia ya kujiingizia kipato

    Bofya hii link: CashBarn :: Diamonds And Cash Giveaways!
  11. M

    Mshahara ngazi ya Diploma

    Habari zenu wana jf, naomba mnijulishe mshahara kwa ngazi ya Diplona ni kiasi gani kwakuanzia.
  12. M

    Mshahara ngazi ya stashahada

    Habari zenu wana jf naomba mnijulishe mshahara kwa ngazi ya Diploma kwa kuanzia, asanteni mbarikiwe sana.
  13. M

    Mshahara ngazi ya stashahada

    Habari wana jf naomba msaada kujua mshahara ngazi ya diploma ni kiasi gani kwa kuanzia.
  14. M

    Natafuta nafasi ya kuvolunteer kwenye NGO

    Habari zenu wana jf natumai muwazima, naomba mnisaidie nimemaliza Diploma ya social science natafuta NGO nijitolee kufanya kazi, kwasababu nimetafuta ajira bila mafanikio, kwa yoyote anayeweza kunisaidia awasiliane nami kwa email madata84@yahoo.com nawaomba sana mbarikiwe.
  15. M

    Nisaidieni hapa wanajamii

    Naomba mnisaidie kazi nimemaliza Diploma ya social science na ndani ya kozi nimesoma masomo kama sociology, psychology, methods of social science research, field work and field report writting haya ni baadhi ya masomo katika kozi niliyosoma, naomba kwa yoyote atakayeguswa anisaidie hata kupitia...
  16. M

    Nisaidieni hapa

    Naomba mnisaidie wapendwa nimemaliza diploma ya social science ambopo ina masomo kama vile sociology, psychology, methods of social science research, field work and field report writting, haya ni baadhi kwa yoyote atakayeguswa anisaidie hata kwa ndugu jamaa anayemjua ataweza kunisaidia...
  17. M

    Kazi kwenye NGO's

    Naombeni mnisaidie wapendwa nimemaliza Diploma ya social science ndani yake kuna masomo kama sociology, psychology, methods of social science research, field work and field report writting haya ni baadhi tu, bado sijapata kazi kwa yoyote anayeweza kunisaidia plz naomba anisaidie
  18. M

    Kazi kwenye NGO's

    Natafuta kazi ya social work nimemaliza Diploma ya social science atakayesikia anishtue jamani wana jf.
Back
Top Bottom