Msaada wapi zilipo office za Ifakara Health Institute hapa Dar

madata84

Member
Jan 17, 2011
49
2
Habarini wana jf naomba kwa anaefahamu ofisi za Ifakara Health Institute kwa hapa Dares salaam anielekeze tafadhali. Asanteni.
 
somewhere in mikocheni,sikumbuki exactly wapi.umejaribu ku-google?kwenye web yao itakuwepo na namba za simu pia.
 
Zipo Mikocheni. Ukitoka moroko unapita myfair plaza, tanesko, Engen Petrol station, archade house, feza junior mara baada ya kumaliza feza utakuta barabara ya vumbi inaelekea kushoto kwako fuata hiyo mpaka mwisho utaona kibao. Hiyo barabara inaitwa KIKO AVENUE. Safari njema!!
 
aisee Lighondi, asante nime muelekeza mdogo wangu amefika kama ulivyo elekeza na anasema kapishana na watu kibao wametoka kuwasilisha balua zao, so far anasema wana zipokea balua na kuzi file hapo hapo,anyway kwa niaba ya dogo nasema asante mana nilikua sijui ofisi ziko wapi baada ya kusoma maelekezo yako nika mtumia sms anasema amefika as per maelekezo yako

pia bravo ZoomTanzania.com endeleeni kutujuza
 
Yuu ara werekamu Baba Jose!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom