Natafuta nafasi ya kuvolunteer kwenye NGO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nafasi ya kuvolunteer kwenye NGO

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by madata84, Mar 28, 2011.

 1. m

  madata84 Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari zenu wana jf natumai muwazima, naomba mnisaidie nimemaliza Diploma ya social science natafuta NGO nijitolee kufanya kazi, kwasababu nimetafuta ajira bila mafanikio, kwa yoyote anayeweza kunisaidia awasiliane nami kwa email madata84@yahoo.com nawaomba sana mbarikiwe.
   
 2. K

  Kimla JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,508
  Likes Received: 1,392
  Trophy Points: 280
  Tafuta NGos za ukimwi
   
 3. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hebu toa data zako. Upo wapi na ni wapi unaweza kufanya kazi?
   
 4. R

  Rangi 2 Senior Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo unataka tu kuwa Volunteer kwa sababu tu umekosa ajira?
  Uzalendo wewe hauna?
   
 5. m

  madata84 Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Thanks kwa ushauri
   
 6. m

  madata84 Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Niko Dar es salaam, pia naweza kufanya kati ya Moshi, Arusha au Singida
   
 7. m

  madata84 Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Siyo tu kwa sababu nimekosa ajira hapana pia inanipa na kuniongezea uzoefu wa kazi maana hakuna anayekuajiri bila uzoefu siku hizi, uzalendo ninao ndo maana nimeamua kujitolea kwanza kufanya kazi za jamii kwa maendeleo ya jamii.
   
Loading...