Search results

  1. M

    Kwa waliosoma Udom

    Nawaombeni kwa yeyote anayefahamu aliko kijana anayeitwa mmassy jerome ambaye alisoma Udom na alimaliza mwaka 2011.Huyu jamaa amewahi kuwa Spika wa bunge pale,mbunge na mwenyekiti wa kamati fulani.Naomba kufahamu aliko na namba yake ya simu kwa sababu namtafuta kwa gharama yoyote.Ukiwa unafahamu...
  2. M

    Waliosoma UDOM

    Ntakutafuta wewe na yule.....wa kipindi kile utuelezee vizuri,mchana au usiku!!
  3. M

    Kukamatwa kwa Mbowe, jaji mkuu Chande anahusika?

    Ni kweli,umesema vizuri kuwa ni taasisi tena ya ccm kama vile uvccm manake wanajibia dhambi na makosa ya ccm.Kipindi cha uchaguzi gazeti lao la Alnur waliandika wazi wanavyokula kwa huruma ya ccm wakajisahau kuwa Jk pia alihitaji kura za maaskofu ili ashinde.
  4. M

    Ushauri wenu wajumbe

    Poleni kwa majukumu wajumbe!!Naleta kwenu kisa changu mnisaidie mwenzenu.Nina mpenzi wangu ambaye tulikuwa naye kimapenzi kwa zaidi ya miaka 2.Akawa ameenda chuo UDOM na kwa sasa anakaribia kumaliza mwaka wa tatu.Tatizo ni kwamba tangia ameenda chuo amebadilika kitabia na kuwa anamind hata jambo...
  5. M

    Ushauri wenu wajumbe

    Poleni kwa majukumu wajumbe!!Naleta kwenu kisa changu mnisaidie mwenzenu.Nina mpenzi wangu ambaye tulikuwa naye kimapenzi kwa zaidi ya miaka 2.Akawa ameenda chuo UDOM na kwa sasa anakaribia kumaliza mwaka wa tatu.Tatizo ni kwamba tangia ameenda chuo amebadilika kitabia na kuwa anamind hata jambo...
  6. M

    Nape ahudhuria sherehe za kuagwa wanafunzi wa UDOM ambao ni makada wa CCM

    Hawa makada jamani mjue walishakata tamaa na lichama lao ila tu kuna vijisenti ccm walitumbukiza hapa vya uchaguzi wakashindwa na nguvu ya umma ndio wakavitumia kupeana vyeti na Nnape akawapa sh.5 million.Kimsingi hawaishi kwa raha hasa ukizingatid kuwa chama chao kimepoteza utamu na UDOM lema...
  7. M

    CCM watumbukiza 10 mil+ uchaguzi MIPANGO

    Hawawezi kitu kaka,UDOM waliumbuka vibaya,vijana walikunywa bia,wakanunua laptop,wakanunua vidz lakini kama kawaida kile chama ambacho hakihongi bali huchangiwa wakatoa kidedea college zote.Huyo Bashe alimfadhili mdogo wake kugombea na alishindwa vibaya na mdada na sasa rais wa Udom ni...
  8. M

    Mhadhiri udom mtegoni

    Katika hali ya wahadhiri vyuo vikuu kuendelea kuwatumia wanachuo kama sehemu ya kutimizia haja zao na kuonyesha umaarufu wao,sasa umeingia sura mpya baada ya Mwalimu mmoja(jina tunalo)wiki iliyopita kujipambanua kama member wa Royal families na kuwadharau Wahadhiri wenzake kuwa wanawafundisha...
  9. M

    Waumini wenu sio waadilifu! - Pinda

    Ni kweli ndugu,hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake katika serikali. Yeye angekuwa mwadilifu asingetetea Kulipa Dowans, asingedanganya umma mbele ya bunge tukufu,asingekubaliana na hoja ya kutafsiri upya kanuni za bunge na kusaliti watanzania, asingekuwa kimya wakati wasaidizi wake wamekula...
  10. M

    Msaada wa kimapenzi!!!

    Ni kwamba nimesoma makala nyingi sana juu ya kitendo cha kupiga punyeto,kila mwandishi ameandika kivyake.Hivi karibuni nimesex na demu wangu bila shida na wiki ijayo ninampango wa kumeet na mwingine huku nashawishika bado kupiga nyeto.Je ntaweza mzigo?
  11. M

    Msaada wa haraka jamani

    Naombeni mnisaidie katika hili: Nina mpenzi wangu anasoma pale UDOM na tumepanga kuoana japo kuna mambo yananikwaza.Tulianza mapenzi siku nyingi kidogo na baadaye yeye kaenda kusoma.Alipofika tu pale chuoni akakutana na jamaa mmoja ambaye amemteka na wamekuwa wakifanya mapenzi mara kwa mara...
Back
Top Bottom