Search results

  1. 0ozg Tz

    Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

    Jamaa alikomaa haswa akisema nyumba ni za watoto lakini ilishindikana Huyo maza anasema sahv eti mali ni za wazaz hvyo watoto watafute zao
  2. 0ozg Tz

    Je, uko tayari kuona mpenzi wako (mwanamke) anabeti?

    Wanawake huwa na bahati sana katika betting Ila huwa naogopa sana kuona mwanamke anapenda kufanya mambo ya wanaume maana akija kuwa addicted huwa wanapitiliza zaidi ya wanaume,akikosa hela atajiuza hata kwa buku 5 ili abeti
  3. 0ozg Tz

    Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

    Ni kwel aisee Ngoja nitoe kastory kidogo namna ndugu yetu mmoja alivyokutana na shetani live Alikuwa na biashara zake nzuri tu kwa siku hakosi faida ya laki 2 mpaka 3 Akaoa,baadae akawa na pepo la ngono mkewe alipojua akaanza kumkomoa jamaa kwanza nae alianza kugawa kipochi manyoya mpaka vitu...
  4. 0ozg Tz

    Hizi hapa nchi 4 zilizofuta takwa la Visa kwa waafrika wanaotaka kutembelea nchi hizo

    Wengine tunaogopa kuvamiwa na ukiangalia kwa makini unagundua majambazi tupo nao humu humu ndani
  5. 0ozg Tz

    Hongera kwa huyu Polisi. Ameona bora aseme ukweli tu

    Yaan mbona kàma anachafua hali ya hewa
  6. 0ozg Tz

    Dudubaya ameokoka rasmi

    TBL
  7. 0ozg Tz

    Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

    Kila nikifikiria namna ambavyo binadamu anaumbwa kuanzia kutunga mimba mpaka kuzaliwa,wazaz wanakuwa hawalali usiku kumlea mpaka anakuwa mkubwa afu anakuja kufa kirahis hiv
  8. 0ozg Tz

    Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

    Hata kamagu kalivyokuwa kadogo huenda kalikuwa hvyo, kalikuwa hakapendi kuambiwa ukwel
  9. 0ozg Tz

    Kwa malezi haya ya watoto wa kizazi hiki, ni bomu linalokuja

    Kiukwel hili swala la kuinama siku hz Wanawake wengi wanalo na hawajari,tena hata akiwa kavaa gauni fupi au sketi fupi
  10. 0ozg Tz

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Sio kwamba wana undugu na shetani
  11. 0ozg Tz

    Mambo 7 yanayofanya wanawake wanaachika mapema kwenye ndoa

    Haraka ya mwanamke kutaka kummiliki mwanaume; Umeingia kwenye ndoa, haina hata miezi miwili ushaanza kuulizia kuhusu mali zake, kutaka kushirikishwa kwenye kila kitu chake na mbaya zaidi unataka asishirikishe ndugu zake, unawakasirikia na kutaka mawazo yako yasikilizwe yawe kama amri.
  12. 0ozg Tz

    Waliozaliwa tarehe zifuatazo wengi wao huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

    Mimi nimezaliwa April naamin mungu yupo lakin huwa siamin kujiangaisha unapotaka kuzungumza na mungu wako kama wanavyofanya wajinga wengine eti wanafunga kula,sijui kukesha wakiomba mara kupiga magoti mara kubinuka na mengine mengi ya kujitesa tesa kama hayo na ndo maana huwa siendi kanisani na...
  13. 0ozg Tz

    Waliozaliwa tarehe zifuatazo wengi wao huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

    Mimi nimezaliwa April naamin mungu yupo lakin huwa siamin kujiangaisha unapotaka kuzungumza na mungu wako kama wanavyofanya wajinga wengine eti wanafunga kula,sijui kukesha wakiomba mara kupiga magoti mara kubinuka na mengine mengi ya kujitesa tesa kama hayo na ndo maana huwa siendi kanisani na...
  14. 0ozg Tz

    Sema nini wakuu degree ni utapeli tu

    Mfano mwijaku wa clouds fm ana degree ya HR lakin hajui kutofautisha mita na kilometa na hata hajui kama mlima Kilimanjaro upo mkoa gani
Back
Top Bottom