Search results

  1. fimboyaasali

    Live coverage Azam ni mbaya

    Ukiacha matangazo ya mpira,matangazo mbashara ya taarifa za habari,ama adhuhuri au alaasiri ni mbaya sana,picha mbaya sauti mbaya,hebu tafuteni ufumbuzi wa hili
  2. fimboyaasali

    Kwanini Mwamnyeto huwekwa benchi

    Jana tumeona kwanini Mwamnyeto huwekwa benchi na Gamondi, ni mtu wa kukaba kwa macho tu.
  3. fimboyaasali

    Master Gamondi

    i pray that you mobilize the players to control their emotions and play a very disciplined game
  4. fimboyaasali

    Naomba picha za Maendeleo ya ujenzi wa Uwanja Ndege Msalato

    Kama kuna mdau ana taarifa na picha juu ya maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa msalato dodoma, aweke hapa. Natanguliza shukrani
  5. fimboyaasali

    Uwanja wa Geita umefikia wapi?

    Kama kuna mdau hunu ana taarifa kuhusu ule uwanja wa Geita unaojengwa umefikia wapi?
  6. fimboyaasali

    Julio akaa pembeni Singida Fountain Gate mpaka atakapopewa mkataba

    Hayupo na hatakuwepo kwenye mechi baina ya singida foutain gate na yanga,kisa? malipo maana boss wa timu hayupo,yupo nje ya nchi. --- Baada ya kuiongoza Singida Fountain Gate FC kwenye michezo miwili, Kocha Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ ameondoka kwenye kikosi hicho ambacho maskani yake kwa sasa ni...
  7. fimboyaasali

    Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

    luambano wa clouds fm jana usiku,kwenye kipindi chao cha michezo,kasema simba shida zote zinaletwa na mo,hivyo wanachama wameambiwa waamka wamtake mo ama atoe hela au awaachie timu yao
  8. fimboyaasali

    mwanamke:kumbe muhimu kwa mwanaume

    awe mwanamke popote ulipo kaa ufurahi kuzaliwa mwanamke.wewe ni kiumbe muhimu sana kwa mwanaume,umbo lako,sura yako,sauti yako vyote ni alama ya urembo na umuhimu wako.jitunze,jilinde na jiweke tayari kukutana na mwanaume muoane na muanze kujenga familia
  9. fimboyaasali

    Wanawake na Wanaume msipumbazwe na watu wa kataa ndoa, wengi ni waongo

    Msipumbazwe na watu wa kataa ndoa, wengi ni waongo sana,pia msiogope changamoto za maisha ya ndoa,hizo zipo tu. Kwenu ambao hamjaoa au kuolewa, fanyeni juhudi muoane na mimi nipo kuwasaidia mkamilishe sakramenti muhimu ya ndoa.
  10. fimboyaasali

    simba poleni

    poleni kwa kufungwa aggregate 3-0,natumai makocha wamejifunza kitu
  11. fimboyaasali

    Ubunifu wa Yanga upo juu sana

    Hili halina ubishi,jinsi walivyofungua tawi sauz,tena kwa ubunifu wa kwenda na crdb,na toka wamefika huko,wana shughuli za kila aina,rais wetu,hersi said kaongea na vyombo kadhaa vya habari.safi sana
  12. fimboyaasali

    ni muda dei

    yanga imetangaza kuwa mechi ya mamelodi,imepewa muda dei:unaitika wote tupige simu tujae kwa mkapa
  13. fimboyaasali

    Utulivu kwenye tendo la ndoa

    wana ndoa, tendo la ndoa linataka utulivu na sio papara kwamba mkifika kitandani ni vuuuup,kuvuana nguo bila matayarisho na mnaanza kuingiliana,mnaharibu ndoa zenu. Hebu fanyeni hivi: 1. Matayarisho yaanze mapema,mnapokuwa ama kazini au kwenye biashara zenu, msalimiane na muambizane...
  14. fimboyaasali

    Hakuna pisi kali kuliko mkeo

    wanaume,popote mlipo,hakuna pisi kali kuliko mkeo,ndio maana ukamuoa.eti kwamba huko nje umetembeatembea na kukutana na pisi kali,huo ni umalaya tu,kwamba umemtamani tu.
  15. fimboyaasali

    Baa ya Mendez wa Wasafi ipo wapi?

    Nasikia huyu jamaa kafungua baa mjini Dar, ambayo ina vinywaji vya hatari, anayeijua aniarifu inaitwaje na ipo mtaa gani
  16. fimboyaasali

    Mke akizaa nje ya ndoa na akakiri usimfukuze, chunguza sababu na uikabili

    Mkeo akizaa mtoto wa nje ya ndoa na akakiri kuwa ni kweli, huyo mtoto ni wa nje, usimfukuze. Msamehe mke ila chunguza ni kwanini amezaa nje ya ndoa, ukishaijua sababu, basi ikabili hiyo sababu.
  17. fimboyaasali

    Tendo la Ndoa kwenye Mahusiano

    Kila dini ina maelekezo yake juu ya tendo la ndoa,miongoni mwa wanandoa, kila kabila lina utamaduni wake kuhusu tendo la ndoa. Jambo la muhimu sana kwa wanandoa, ni kwamba wanafunga ndoa ili kupata watoto ili kuendeleza ukoo au kujaza dunia. Hivyo tendo la ndoa lina umuhimu mkubwa sana kwenye...
  18. fimboyaasali

    Ndoa inahitaji huruma

    Mengi hutokea kwenye ndoa, wala sina haja ya kuyataja hapa. Ukitoa uvumilivu, huruma ni muhimu sana kwa wana ndoa wote, mwanamke na mwanaume, kila mmoja awe na huruma na mwenzie. Kwa njia hiyo mtaishi vizuri na mtazaa watoto na mtazeeka pamoja na mtakufa mkiwa pamoja.
  19. fimboyaasali

    Kwanini Makocha wa Kitanzania hawaendi kufundisha nje ya nchi?

    Nauliza, ni kwanini makocha wa mpira wa miguu wa Kitanzania, hawaendi kufundisha nje ya nchi? Makocha wa Wakenya na Warundi wanafundisha hapa kwetu, wa kwetu vipi?
  20. fimboyaasali

    Hoteli za bei rahisi Kariakoo au Mnazi Mmoja

    Natarajia kwenda Dar kushiriki mkutano kwenye ukumbi wa JNICC, sasa naomba wadau mniambie maeneo hayo kuna hoteli zipi za bei isiyozidi 30,000 kwa siku. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom