Search results

  1. trojan

    Wapi nitapata fan ya laptop?

    Asante kaka, nimefanikiwa kumpata mtu kanirekebishia, in fact kanipa ushauri kama wako, sikulifahamu hili before ingawa kuna mlio strange wa fan. Nitaitumia hii kwa siku kadhaa kwani nimeamua kuagiza mpya aliexpress ambayo nitaipata mwezi huu. Asante sana kwa ushauri I hope utamsaidia mtu...
  2. trojan

    Wapi nitapata fan ya laptop?

    Tatizo ni muda utakao tumika kuipata, hii ni PC ninayoitumia kwa shughuli zangu hivyo inakua ngumu kusubir karibu siku 28 kwa ajili ya fan tu. In the worst case nitafanya hivyo.
  3. trojan

    Wapi nitapata fan ya laptop?

    Asante kaka, ingawa lengo langu si kutafuta unafuu wa bei bali ni kupunguza usumbufu wa kutafuta kitu bila kujua nitakipata wapi maana jitihada zangu za mwanzo sijafanikiwa. Hivyo natamani sana kufapata duka ambalo naweza kuconfirm kabla ya kwenda kununua.
  4. trojan

    Wapi nitapata fan ya laptop?

    Nina laptop ya hp Envy x360, Fan yake ya GPU imekufa, nimejaribu kupiga simu kwenye maduka tofauti hapa Tanzania bila mafanikio. Nimejifunza kuwa maduka yote niliyopiga hayauzi spare za laptop kama yanavyojitangaza. Naomba msaada kwa mtu yeyote anaeweza nipa mwongozo wapi nitapata. Ukinisaidia...
  5. trojan

    Paypal to Tigo Pesa Exchange

    Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM.
  6. trojan

    Vodacom tz mastercad

    Nadhani kuna kuna issue kwenye hizi card,Nimejaribu kuwasiliana na wafanyakazi wa vodacom but it seems hata wao hawana knowledge ya kutosha kwenye product zao,kwa kifupi wameshindwa kutatua tatizo langu,hivyo nimeamua kuendelea kutumia prepaid card yangu kufanya miamala.
  7. trojan

    Hatimaye! Unaweza kufanya malipo mtandaoni kwa M-Pesa

    Wakuu kama kuna mtu amefanikiwa kuitumia huduma hii naomba msaada,Sehemu ya cardholder name tunaingiza jina gan? Nimejaribu kuingiza jina lilipo kwenye account ya mpesa but sijafanikiwa. Nahisi kuna specific predefine name kwa ajili ya card zote. Msaada tafadhali. Nimejaribu kuwacheck vodacom...
  8. trojan

    Vodacom tz mastercad

    Wakuu cardname unaingiza jina lipi??msaada kwa yeyote ambae amewahi kutumia. Nimejaribu kuingiza jina lililosajiliwa kwenye line lakini sijafanikiwa
  9. trojan

    Tumia no ya USA kwa whatsApp ukiwa hapa Bongo

    Wateja kama wewe hua siwahitaji kabisa:D:D:D:D Ooh kumbe uliandika ukidhani sitakujibu eh :p:p Pole sana . Haya kakojoe ukalale
  10. trojan

    Tumia no ya USA kwa whatsApp ukiwa hapa Bongo

    Kwani hapa unaona nakutongoza? Kuna mtu karudi hapa akasema nimemuibia? ama kuonyesha dalili hizo?
  11. trojan

    Tumia no ya USA kwa whatsApp ukiwa hapa Bongo

    Tafadhali naomba kujua jinsia yako, mimi ni mwanaume rijali sina wenzangu humu Mbona hii ilishawahi kujadiliwa humu na wala wenzako hawakuomba pesa Tatizo lako ni nin yani sijaelewa? Nimimi kuuza chip ama? hio thread ulioisoma uliona imeandikwa wanakupa phsical chip ama virtual ? Mbona...
  12. trojan

    Tumia no ya USA kwa whatsApp ukiwa hapa Bongo

    Kataa kua kaa, kwa hio watu wasilale kempinski kisa kuna hoteli ya 5000 sinza?
  13. trojan

    Tumia no ya USA kwa whatsApp ukiwa hapa Bongo

    Lengo ni nini kutumia line ya Voda? Inamaana unataka nikupangie matumizi ya no utakayonunua? Kama unadhani huna matumizi nayo basi hili tangazo ni vema ukalipita tu.
  14. trojan

    Tumia no ya USA kwa whatsApp ukiwa hapa Bongo

    Hoja gani imetolewa hapo? Sijakupata , una hoja ama swali?
  15. trojan

    Tumia no ya USA kwa whatsApp ukiwa hapa Bongo

    Bila kupoteza muda kesho asubuhi wahi US embassy
  16. trojan

    Tumia no ya USA kwa whatsApp ukiwa hapa Bongo

    Huruma yangu iko juu ya familia yako :(:(
  17. trojan

    Tumia no ya USA kwa whatsApp ukiwa hapa Bongo

    Well said! Life is full of choices. Tuspangiane namna ya kuishi.
  18. trojan

    Tumia no ya USA kwa whatsApp ukiwa hapa Bongo

    Jaribu kufuata maelezo ya hio post, hio service haipo free
Back
Top Bottom