Search results

  1. N

    Nauza TV mtumba

    Sawa
  2. N

    Hali ni mbaya wadau Hebu tuelezane ukweli sasa."Mficha Uchi hazai"

    Asante kwa ku rap wimbo mzuri. Anzisha bendi ya muziki
  3. N

    Sperm Analysis Report: Madaktari naombeni view yenu.

    Kwenye majibu ya vipimo pale mwishoni Other findings "Few pus cells........semen (+). Muulize daktari aliye karibu nawe akusaidie
  4. N

    Sperm Analysis Report: Madaktari naombeni view yenu.

    Kwenye mbegu zako kuna usaha. Una kisonono utakuwa umemwambukiza mkeo! Waambie wakutibu haraka
  5. N

    Wanaume acheni kuzama chumvini, nafikiri sio salama. Hata wao wanawake wanajua hilo!

    Cancer/saratani ya mdomo ni miongoni mwa majibu. Endelea kuzama chumvini
  6. N

    Hivi Bongo Movie kuna mtu ana elimu ya kiwango cha shahada(Degree)?

    Wasanii wote ukiwapima joto lao wana degree kuanzia 37
  7. N

    Elimu bure chachu ya ufaulu darasa la saba 2017

    Mie nilimuunga mkono tokea siku ya kupiga kura
  8. N

    Naombeni ushauri: Msichana wangu ana mchepuko

    Kwa kuwa analala kwa mchizi, nadhani nayeye ni chizi ndo maana anafanya hivyo kichizi. Kama nawewe ni chizi muoe lakini kama wewe siyo chizi achana naye.
  9. N

    Maalumu kwa waliochaguliwa bachelor of science in Agronomy

    Aiseeee, mweleze ukweliiiii. Hapo shule ipo ajipange sawasawa. Hakuna lelemama pale.
  10. N

    Maalumu kwa waliochaguliwa bachelor of science in Agronomy

    A jira kibao mashambani wala usihofu
  11. N

    Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

    Hata mwenye elimu ya NGUMBARU ana nafasi ya kuchaguliwa
  12. N

    Kutongoza ni janga kitaifa

    Wanamuheshimu Mungu wa Mbinguni wanasubiri hadi ndoa halali. Kama ni wahanga wa punyet nawaasa waache Mungu hapendi. Fikisha ujumbe huu kwa jirani yako mwenye tabia kama hii..
  13. N

    Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

    Kila amtamae mwana Kila amtazamae mwanamke kwa jicho la kutamani amekwisha kuzini naye! Usimtamani mke wa jirani yako! Ndo maana Miafrika hatuendelei tunawaza wake za watu. Alichonacho huyu mama na mke wako anacho pia! Acha mama wa watu achape kazi wenzio tumeshaanza viwanda! Nina charahani...
  14. N

    Members wa JF bwana!!!!

    Wengi wao wameajiriwa mkuu. Wengine wako kazini hapa! Shauri yako!
Back
Top Bottom