Search results

  1. King More

    Kuendelea Chuo au kwenda Chuo cha Polisi?

    Hiyo uliyoisahau ni posho ya vinywaji wanapewa laki 3 kila baada ya miezi 3
  2. King More

    Kuendelea Chuo au kwenda Chuo cha Polisi?

    Mwenye elimu ya form 4 anayeanza kazi malipo yote kwa mwezi ni zaidi ya laki 8, mshahara+ posho ya chakula na vinywaji
  3. King More

    HESLB account

    Habari wakuu, naomba msaada Kila nikijaribu kuingia kwenye account inaniandikia "access denied make sure you provide correct username and password" najaribu ku reset password lakini bado inagoma nifanye nini? na je hii changamoto iko kwangu tu au na wengine mmekutana nayo?
  4. King More

    Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

    Kila nikijaribu kuingia kwenye account inaniandikia "access denied make sure you provide correct username and password" najaribu ku reset password lakini bado inagoma nifanye nini? na je hii changamoto iko kwangu tu au na wengine mmekutana nayo?
  5. King More

    Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

    Si unaona mambo yanavyoenda, saivi niiingia kwenye account inaniambia niangalie Trh 08/11/2022 muda ambao tayari umeshapita
  6. King More

    Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

    Matumaini ya kupata mkopo hayapo tena
  7. King More

    Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

    Sijui ndio nini hii sasa, dogo kaandikiwa hivi [emoji26] hii bodi ya mikopo **** nina kabisa
  8. King More

    Form 5&6 mwaka mmoja au chuo niamue lipi?

    Soma advance mwaka mmoja uje ufanye mtihani kama private candidate uende Chuo kikuu ukachukue degree yako utulie kulima matikiti
  9. King More

    Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

    Haifunguki aisee daa![emoji26]
  10. King More

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi naweza kurudishwa kwenye matumizi madogo kweli? maana hapa nahisi kuchanganyikiwa kabisa
  11. King More

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimerudishwa kwenye matumizi makubwa ya umeme, nimezidisha kununua umeme bila kujua maana nilikuwa nalipia kidogo kidogo, nifanyaje ili nirudi kwenye matumizi madogo naomba msaada tafadhari
  12. King More

    Misaada GPA inaweza kadiriwa

    Post graduate diploma inakuhusu mzee
  13. King More

    Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

    Jambazi ni haki yao kuuawa kikatili hata mi Niko tayari kuua sina urafiki nao kabisa
  14. King More

    Kwa matokeo haya ya HKL anaweza pata University Admission?

    Ni kweli CE ni points 4 tayari una dahiliwa Bachelor degree katika chuo chochote
  15. King More

    Bachelor degree ya international relations and diplomacy

    Ni nzuri sana mi nimesoma hiyo degree na sasa nimeajiriwa kwenye NGO fulani, soma utimize ndoto zako usikatishwe tamaa ajira ni changamoto kwa fani zote Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  16. King More

    Kwa matokeo haya ya Kidato cha Sita naombeni ushauri wenu

    Soma foundation course ya Open University miezi 6 baada ya hapo omba bachelor degree unayoitaka katika chuo chochote utimize ndoto zako Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  17. King More

    Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

    Ukioa mjita tambua kabisa hautauona uzee wako, ukikuza tu watoto jiandae kuuliwa kwa dawa Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom