Isolated
JF-Expert Member
- Jul 12, 2022
- 212
- 359
- Thread starter
- #161
Yaan apa matumaini yashaanza kupungua kabisa ,dogo kasoma shule zote za kata,na amepata engineering lkn mpaka sasa hajariport nawaza hyo Ada,MA,
Pole mkuu kufika tar8 inshallah tuombe MunguYaan apa matumaini yashaanza kupungua kabisa ,dogo kasoma shule zote za kata,na amepata engineering lkn mpaka sasa hajariport nawaza hyo Ada,MA,