martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,459
Vp jamani huko
Kwanini jamaniMatumaini ya kupata mkopo hayapo tena
Si unaona mambo yanavyoenda, saivi niiingia kwenye account inaniambia niangalie Trh 08/11/2022 muda ambao tayari umeshapitaKwanini jamani
Kwan wamesema wanawapa wote?Mtapata hakuna atakaekosa vuteni subra
Tatzo pesa hakuna na si bodi
Nitumie password na username inboxKila nikijaribu kuingia kwenye account inaniandikia "access denied make sure you provide correct username and password" najaribu ku reset password lakini bado inagoma nifanye nini? na je hii changamoto iko kwangu tu au na wengine mmekutana nayo?
Vuta subira Muweza yu pamoja nawe
Aisee tuvute subra tuDuuh!! Tarehe 12!!?? hii kali, maana kuna watu tayari wameshakula boom la kwanza na limeisha
Sent using Jamii Forums mobile app