Search results

  1. Kinkajou

    Nimeibiwa till ya mpesa

    Naombeni msaada au mwongozo tafadhali , mwaka 2019 nilimwajir rafk yang wa kijjn kwenye mpesa yangu hapo kijjn kwet nikaondok kwenda nje ya nchi ila cha ajabu mwaka huu mwez wa 4 wamefanya tukio kijjn kupelekea kutaftw na polis akaondok na kila kitu changu cha mpesa na lain bdo inatumik...
  2. Kinkajou

    Msaada mwenye uelewa upande wa Till ya M-PESA

    Nili apply TILL ya M-Pesa mwaka jana mwezi wa 6 kwenye duka la Vodacom desk nikaambiwa baada ya miezi mitatu kutokana na umbali wa duka nlienda kuangalia kama tiari nianze biashara nkaambiwa wamegoma Vodacom HQ (MAKAO MAKUU) wanataka utumie kitambulisho cha taifa. Mimi sikua nalo ikaabidi...
  3. Kinkajou

    Naombeni msaada katika hili

    Naombeni msaada upande wa Apple touch ID haiwezi kufunguka.
  4. Kinkajou

    Hellow

    Hellow naitwa Tony natokea mkoa wa Mara, umri 25. Single
  5. Kinkajou

    Msaada tafadhali kwa wazoefu wa kikuu online

    Naomba nijue kama kuna uwezekano wa kurudisha hela zilizopo kwenye account ya kikuu kuja mpesa
  6. Kinkajou

    WanaJF natoa shukrani kwa mchango wa kuweza kunipa Elimu ya Mpesa Master Card

    WanaJF natoa shukrani kwa mchango wa kuweza kunipa Elimu ya Mpesa Master Card hatimae nimeweza kufungua na kuinganisha na account ya PayPal Jana nimenunua Simu aina ya nokia e63, nokia 301 kupitia Ebay had kufika mda huu tayari zipo njiani zinakuja. Asanteni wana JF.
  7. Kinkajou

    Kuna husiano gani NIDA NA usajili wa laini

    Ndugu Mwana JamiiForums kiasi nimeumiza kichwa kufikiri kwa sababu wanataka tusajili lain upya na ukitazama 80%ya watanzania hawapata kitambulisho cha NIDA Pili Kuna huduma hutolewa na kampuni ya Voda ya kuangalia namba yako ya kitambulisho cha NIDA kwa nini itozwe hela huduma hii na wakati ni...
Back
Top Bottom