Search results

  1. mkadiriajimajenzi

    Msaada: Kurecover files kutoka SSD iliyokufa

    Nimepata mtihani wa kufiwa na Solid State Drive (SSD) ya laptop yangu yenye 256GB storage capacity. Naomba msaada kwa mtu mwenye utaalamu wa kurecover files kwa namna yoyote ile an isaidie. Nimejaribu kuitoa kwenye laptop na kuitumia kama external drive bila mafanikio.
  2. mkadiriajimajenzi

    TEMESA, kazi ya vivuko Kigamboni imewashinda?

    Katika hali isiyo ya kawaida, majira haya ya saa tatu na nusu usiku huu kivuko cha magari na abiria cha MV Magogoni kimeshindwa kuanza safari kutoka upande wa Magogoni kwenda Kigamboni na kusababisha taharuki kubwa kwa abiria waliokua tayari wameshaingia kwa ajili ya kuanza safari. Ikumbukwe...
  3. mkadiriajimajenzi

    Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Halitaisha mpaka watu watakapoacha madhambi na kurejea katika maamrisho ya muumba wao. Binadamu akijiepusha na kuipenda sana dunia (mali) na madhambi makubwa kama ushirikina na zinaa si rahisi kwa yeye kushika panga na kuua mtu.
  4. mkadiriajimajenzi

    Arusha, amuua kaka yake kwa kisu baba yake akishuhudia

    Unapoambiwa zama za mwisho dont think of 10 - 20 years to come. Kwa sasa unaona jambo la uzinzi na wanawake kutembea uchi lilivyo? Bas jua ni bado sana itafika wakati uzinzi utakua unafanyika barabarani na wanawake watatembea uchi kabisa na hapo ndo hasira ya mungu itashuka
  5. mkadiriajimajenzi

    Arusha, amuua kaka yake kwa kisu baba yake akishuhudia

    Ndio ! Hakuna anayejua siku wa saa lakini maandiko yametuonesha dalili ikiwemo hii ya mauwaji na vifo vya ghafla
  6. mkadiriajimajenzi

    Vijana wanaomiliki magari aina ya IST na Passo wana "stress" na wanakosa kujiamini

    Kifo ni siri ya muumba hakuna ajuae. Kwan watu hawafi kila siku kwenye vyombo vingine?
  7. mkadiriajimajenzi

    Arusha, amuua kaka yake kwa kisu baba yake akishuhudia

    Kutoka kwa wasiojulikana mpaka wanaojulikana sasa
  8. mkadiriajimajenzi

    Arusha, amuua kaka yake kwa kisu baba yake akishuhudia

    Kama si miongoni mwa wanaaoamini maandiko ni haki yako kusema hivyo kwa maana upo gizani
  9. mkadiriajimajenzi

    Arusha, amuua kaka yake kwa kisu baba yake akishuhudia

    Kweli hizi ni zama za mwisho.Matukio mengi yanahusisha ndugu kwa ndugu ni hatari
  10. mkadiriajimajenzi

    Kutoka airport ya pembezoni mwa bahari (sea port); Aerodrome ya Mkeje mpaka Dar es Salaam International Airport (Terminal 1)

    Historia inaonesha kuwa uwanja wa ndege wa kwanza wa jiji la Dar es Salaam uliojengwa wakati wa ukoloni ulikuwa pembezoni ya bahari kati ya eneo la Feri na ufuo karibu na Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph. Kituo cha abiria kilikuwa karibu na Jengo la wizara ya Ardhi ya sasa. Baadaye uwanja huo...
  11. mkadiriajimajenzi

    Bandarini kwachafuka

    Source: Gazeti la Raia Mwema ukurasa wa pili Tarehe: 13/12/2021
  12. mkadiriajimajenzi

    App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Hasa kwa watumiaji wa ios
Back
Top Bottom