profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,485
- 3,134
nauliza bima ndogo ya gari za 1990cc,mfano noah,ni sh ngapi kwa sasa?
nauliza bima ndogo ya gari za 1990cc,mfano noah,ni sh ngapi kwa sasa?
asante gwa nkaja,nasikia unaweza lipia bima benki ya nmb,sijaelewa kama wao benki wanahusika na bima au inakuwaje,msaada tafadhali..Bima ndogo ni 118,000 tzs
nasikia unaweza lipia bima nmb bank,wao wanahusikaje?118,000/=
Yah wana hiyo huduma, ila nadhan wao ni broker tu. Waone kwa maelezo zaidi.asante gwa nkaja,nasikia unaweza lipia bima benki ya nmb,sijaelewa kama wao benki wanahusika na bima au inakuwaje,msaada tafadhali..
Ha ha ha ni kama unachukua hio 118,000/- kwa mkopo. Wao wanalipa hio 118,000/- cash wewe unalipa taratibu kila mwezi plus interest kubwa!nasikia unaweza lipia bima nmb bank,wao wanahusikaje?
Nina hukatii Cc Bali unavyothaminisha gari...hata ukisema gari 300m TZS watakupa kiasinauliza bima ndogo ya gari za 1990cc,mfano noah,ni sh ngapi kwa sasa?
Ndugu, maofisi ya mawakala wa bima mbona yapo kila kona why upate shida kwenda kuomba maelekezonauliza bima ndogo ya gari za 1990cc,mfano noah,ni sh ngapi kwa sasa?
sawa mkuu,ina maana gari zote ndogo au kubwa,mfano starlet,noah,coaster,tipper & scania yote bima ndogo huwa ni hiyo 118,000/=? nauliza tu mkuu...Bima haihusiani na cc. Inahusiana na matumizi mkuu... Gari ya biashara au private?