Search results

  1. Mbwiga_Plus

    Msaada; Jinsi ya Ku'save Contacts Kwenye Web.

    Wadau wa Jukwaa la Teknolojia. Nawaomba mnisaidie jinsi ya kusave number za contacts za simu kwenye web kama google... Nimesikia kuwa ukisevu huko hata ukipoteza line au simu utapata contact zote. Simu ninayotumia ni smartphone,Samsung Android OS, GT S6802. Kwa anayejua anisaidie maelezo hatua...
  2. Mbwiga_Plus

    Hofu Imewajaa Waandamizi wa Serikali Arusha.

    Jana 19/07/2013 huko mkoani Arusha kulikuwa na sherehe za kuwaaga na kuwakaribisha watendaji mbalimbali wa ngazi ya Wilaya, ikiwa ni pamoja na kumuaga aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Eng. Mushi ambaye amehamishiwa Wilaya ya Ilala, na hapohapo kumkaribisha Mkuu wa Wilaya mpya, John Mongella...
  3. Mbwiga_Plus

    Godbless Lema...Dakika za mwisho za Ubunge.

    Nimeongea na watu mbalimbali, wakiwemo wanasheria waliobobea, wamehakikisha kuwa ifikapo tarehe 05.04.2012 Ubunge wa Godbless Lema utatenguliwa rasmi, kutokana na mapungufu ya kisheria yanayoukabili upande wa utetezi. Kutokana na hilo, hali ya usalama ya Arusha huenda ikaingia katika changamoto...
  4. Mbwiga_Plus

    JK...Arusha Mjini kunani?

    JK alishuka KIA juzi jioni, mara baada ya kushiriki uchangiaji wa hospitali ya ccbrt huko Dar. Alipitiliza kwenda Ngurdoto, akalala huko...Ngurdoto iko Maji-ya-Chai, eneo la nje kabisa ya Mji wa Arusha. Asubuhi aliondoka hapo na Msafara, akapita eneo la Mianzini(Arusha Mjini) kwa kasi kubwa...
  5. Mbwiga_Plus

    Zitto Kabwe Anajenga Hoteli ya Kifahari! [Zitto kafafanua]

    Wanajamvi, Nimepigiwa simu na Ndugu yangu anayeishi Dodoma mjini akinihabarisha kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe anajenga Hoteli kubwa sana ya Nyota 5 Mjini Dodoma, eneo liitwalo KISASA. Hili ni jambo jema na la maendeleo sana, lakini Je Zitto, hili jambo ni kweli? Umekuwa unapinga hata kuwa na...
  6. Mbwiga_Plus

    Mgeni Njoo Mwenyeji Apone!

    Wanajamii, Nafurahi kuufahamu mtandao wenu, nimependa sana kujiunga nanyi. Naamini nitajifunza mengi toka kwenu, na nyinyi mtajifunza toka kwangu. Naomba mnikaribishe. The Black Moses.
Back
Top Bottom