Mbwiga_Plus
Senior Member
- Jan 5, 2011
- 163
- 42
Wadau wa Jukwaa la Teknolojia.
Nawaomba mnisaidie jinsi ya kusave number za contacts za simu kwenye web kama google...
Nimesikia kuwa ukisevu huko hata ukipoteza line au simu utapata contact zote.
Simu ninayotumia ni smartphone,Samsung Android OS, GT S6802.
Kwa anayejua anisaidie maelezo hatua kwa hatua.