Search results

  1. mbewe

    Ni aibu alichonifanyia mke wangu

    tangu najiunga jf ,leo ndio siku nliyocheka mpaka basi yani jitu zima na akili yak linatudanganya kweupe kabisa
  2. mbewe

    Nguvu ya ajabu ya akili

    labda nikwambie tu ukasome vitabu gn coz hiyo kit sijaona kwenye mtandao nimeona kwenye vitabu mkuu
  3. mbewe

    Hivi hawa waimba Singeli huko nyuma walikuwa wanaimba nini?

    Unajua maana ya "mchizi boti"
  4. mbewe

    Nguvu ya ajabu ya akili

    kuzitumia kadiri ya lengo la alituumba,kwa mfano unaweza tumia km tahadhar dhid ya kitu coz hii kitu ina mchezo wa kukupa warning,lakini pia kujiponya magonjwa, kuwa mwenye furaha, na kutumia hata kwenye masomo km bado unasoma Mfano, wapo wanafunzi weng wanasoma soma lakin akiingia exam room...
  5. mbewe

    TV ni chombo hatari sana

    na ndo maana kna hidhaa nyingi tu za kiswahili ambazo zenyewe hazina matangazo ya kibiashara wala nini,weee unazan wanakupenda sana kukupa habar,kumbe wanataka UFIKIRI km wanavyotaka wao ili uendelee kuwa mtumwa wao,na ndio maana nasema hakuna upumbavu unaitwa uhuru wa vyombo vya habar
  6. mbewe

    Nguvu ya ajabu ya akili

    hapana mkuu sio mapepo ,ni vitu ambavyo vipo coz hata science inakir kwamba human DNA can be reprogrammed by words and frequency so,pia unaweza ukapona magonjwa kwa maneno tu yalichanganywa na imani na persistence, na hiyo ndio siri inayofichwa na watumishi wengi sana wanaojiita wametumwa na...
  7. mbewe

    Nguvu ya ajabu ya akili

    aaaaaaaaah, sina swali aiseee
  8. mbewe

    Nguvu ya ajabu ya akili

    fanya iv wakat unaenda kulala,fumba macho kish concentrate kweny pua yak kimya kabisa,kisha unaweza omba unachotaka kimya kimya au kwa maneno ,siyo kwa makelele kipind unaomba Amini kwamba utapata,kwa nn usiku mtu anaweza uliza ivo, kwa sababu akili yak usiku ndio uongea na wewe,au inaweza...
  9. mbewe

    Nguvu ya ajabu ya akili

    mkuu naomba nikupe assignment moja leo, usiku dk chache kabla ya kulala omba kile unachotaka km ni uponyaj wa ugonjwa au whatever ,amini kwa maana expect to the fullest,kisha lala wah kulala, kesho asubuh ukiaamka tu fany km ulivyofanya last night,kisha endelea na maisha yak ,we kuwa na iman na...
  10. mbewe

    Nguvu ya ajabu ya akili

    kwa mwanza sijajua ila kwa dar ,wapo karbu na muhimbili apo, ila begginers uenda j 2 asubuh
  11. mbewe

    Nguvu ya ajabu ya akili

    yah kwel kila mtu huwa anazaliwa na hii kitu ILA ni wachache sana wanazozitumia
  12. mbewe

    Nguvu ya ajabu ya akili

    mkuu nakushaur nenda meditation centre walau ata mara moja, utaelewa umuhimu wak coz sometimes inakuwa inakupa tahadhar juu ya kitu pasipo wewe kujua
  13. mbewe

    Nguvu ya ajabu ya akili

    mkuu, sio kama napoteza muda wapo watu wana iyo kitu ila weng hawajajua bad namna ya kuitumia so, nimeandika km kuwaambia tu kuwa wanaweza kuitumia kufanyia vitu mbali mbali km mm ilivyoniponya ulcers
  14. mbewe

    Wanawake ni watu wa kuogopwa sana dunia hii

    ndo maana mm demu anipende asipende nikichapata nafungua miguu zaid ya bolt wa jamaica,iyo ndo dawa yao maana ukijifanya unajali ndo lazima akulize km ivo
  15. mbewe

    Ulaya ni ulaya tu jamani

    nyani ngabu kuja hapa
  16. mbewe

    Huu ni Ushamba na ulofa.

    mkuu ,kitu ambacho naona wewe umepotoka kuhusu point yak ni kwamba hakuna kitu ambacho mtu (mwenye akili/mind) akikitaman anakikosa, mfano mm sijawah kosa kitu chochote ambacho nna desire nacho, persistence na faith alaf nikikose, yaan kitu sijui nyumba ,gar au ata dada ako au dem wak nikimtaka...
  17. mbewe

    Huu ni Ushamba na ulofa.

    ouky nshajua naongea na mtu wa namna gn, sikia kijana km kwel kitu umeamua kukipata hakuna kisichoshindika mfano,wewe jiulize mtu wa kwanza kudiscover simu we unadhan jamii ya kipind hicho ilimchuliaje! km sio kichaa,but today we have been there because of him, huo ni mfano tu so, we jiulize km...
  18. mbewe

    Huu ni Ushamba na ulofa.

    iyo no 5, umeandika ujinga mkubwa kupindukia, hakuna ambacho akili ya binadamu imetaman alaf ikakosa kukipata,all u need to have ni burning desire,persistence and faith ,ivo tu mengine yote yatakuja yenyewe,so apo rekebisha mkuu
  19. mbewe

    JKT nomaaa

    inanikumbusha maramba iyo 838 kj tanga moja iyo, kwel maisha safar ndefu ,wak wap wanangu wa eagle coy pt ya tatu , nyie ndo masojaaaaaaaaaa!!
  20. mbewe

    Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?

    mkuu mwenyew siku iz nashangaa starehe yangu kubwa ni 1.kugongana 2.kusoma vitabu pombe sinywag ila ganja nlishaachaga
Back
Top Bottom