TV ni chombo hatari sana

18221812_1346789108708443_3220901772469019492_n.jpg
Naomba tafsiri ya lugha ya mwingereza hapo juu nami nipate kudadavua na kujua maana
 
Huu ni ulimwengu wa utandawazi, tumia na saidia wengine kutumia vinavyofaa. Maisha lazima yaendelee licha ya uchafu wa kila aina uliojaa ktk dunia hii.
 
skuiz unaweza ukaangalia taarifa ukajakustuka hata hujui ulikuwa unafanya nini maisha yamebana mnooo


Ni kwa sababu ulizoea ubabaishaji....kama vyeti vyako viko sahihi hauna kuogopa kitu, utaishi kwa raha tu na jamii haitakucheka.
 
Na nilikutibu wewe na ndugu zako na jamaa zako na mkapona ,kwani kulikuwa na haja ya cheti?


Usijidanganye DK. wa vyeti fake, nani alikuambia nilipona uliponiandikia dawa za VVU? Mwenzio nilikuwa naota jua, nilipopata joto kali mwilini nikaja kwako kuchukua vipimo ili nijuwe uwezo wako? Nikatoka nduki uliponiambia nina VVU na hapo ndipo nikakushitaki kwa waziri Ummy na Mh. Kigwangala. Mtalia sana mwaka huu kwa kutumbuliwa, poleni.
 
Ni kwa sababu ulizoea ubabaishaji....kama vyeti vyako viko sahihi hauna kuogopa kitu, utaishi kwa raha tu na jamii haitakucheka.

acha ujinga mwanga wewe na akili za bwana yule wehu nyie baat mbaya ni kwamba kuna wanaonda speed zako ila wanakwama
 
na ndo maana kna hidhaa nyingi tu za kiswahili ambazo zenyewe hazina matangazo ya kibiashara wala nini,weee unazan wanakupenda sana kukupa habar,kumbe wanataka UFIKIRI km wanavyotaka wao ili uendelee kuwa mtumwa wao,na ndio maana nasema hakuna upumbavu unaitwa uhuru wa vyombo vya habar
 
Back
Top Bottom