Nguvu ya ajabu ya akili

Kuna Uzi wa siku nyingi humu wa Pascal, utafute utawakuta wenzio kule...
fanya iv wakat unaenda kulala,fumba macho kish concentrate kweny pua yak kimya kabisa,kisha unaweza omba unachotaka kimya kimya au kwa maneno ,siyo kwa makelele kipind unaomba Amini kwamba utapata,kwa nn usiku mtu anaweza uliza ivo, kwa sababu akili yak usiku ndio uongea na wewe,au inaweza kutangulia kwenye maisha yak kuona kile ambacho ktatokea,in short mkuu ni somo pana sana siwez eleza yote ila meditation ndio ufunguo wa yote, sababu hata zuckerburg na steve job walitumia sana
Note:ata mimi pia ni mkristo ila naamin tu kwenye nguvu za akili

Aiseeeh, haya, mkuu nitajitahidi
 
mi inanitokeaga sana ila ninachojiuliza kwenye kugegeda mbona sionagi tukio ambalo linajirudia... au pale kuna nguvu nyingine ya ajabu...!!!

Aiseeeh,
Kweli wewe ni "The End"

Hakika, umeakisi jina lako.
 
mapepo hayo
hapana mkuu sio mapepo ,ni vitu ambavyo vipo coz hata science inakir kwamba human DNA can be reprogrammed by words and frequency so,pia unaweza ukapona magonjwa kwa maneno tu yalichanganywa na imani na persistence, na hiyo ndio siri inayofichwa na watumishi wengi sana wanaojiita wametumwa na mungu,waganga na wasoma vitabu,wanachokifanya ni kuhakikisha unakuwa katika hypnotic state,hii state itafanya akili yak iwe katka hali ya receptivity ambayo dna inaweza ikiwa programmed na ndo utasikia mganga fulani ni kiboko,wakat huyu huyu mtoa mapepo na mponyaji ndio bingwa wa mambo ya ajabu ya kishenzi
 
Kuzitumia kivipi
kuzitumia kadiri ya lengo la alituumba,kwa mfano unaweza tumia km tahadhar dhid ya kitu coz hii kitu ina mchezo wa kukupa warning,lakini pia kujiponya magonjwa, kuwa mwenye furaha, na kutumia hata kwenye masomo km bado unasoma
Mfano, wapo wanafunzi weng wanasoma soma lakin akiingia exam room hakumbuk chochote, sio kwel kwamba alichokisoma hakipo akilini isipokuwa bad hajaelewa vp akili yak inafanya kaz
 
Hiyo ni siri nzito, ni ya kiroho!
Mm nikiwa nasafiri, ninakoenda sipajui, ila jina nalifahamu, njian wakat navuta picha sehemu niendako, nikfka inakuwa kama napafahamu, nabaadhi ya maeneo inakuwa hivyohvyo kama vile niliota au sio ndoto ni kweli napafahamu!
Sasa mm mtaniita nani??
 
Back
Top Bottom