Search results

  1. soulleymane

    Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Inasikitisha na kuhuzunisha all in all malipo kwa sir God 🙏
  2. soulleymane

    Saratani ya Matiti: Fahamu viashiria muhimu vya Ugonjwa huo

    Thanks for education, what the mostly causes for breast cancer
  3. soulleymane

    Tanzania imesaini mkataba wa kupiga marufuku matumizi ya silaha za nyuklia

    Ila na ss Tanzania tungetengeneza hata kinu ki1 cha nyuklia kwa matumiz ya umeme maana source of energy zpo vry low.
  4. soulleymane

    Kundi la kwanza la wakimbizi kutoka Libya lawasili nchini Rwanda kupewa hifadhi, ulinzi na kazi

    Africa tunageukana na kuwa vinyonga mwisho wa siku yanatukuta mambo kama haya nimekupata vizuri.
  5. soulleymane

    Msaada kidogo

    Asante mkuu maana principle 2 nikajua must uwe na D,D na kuendelea
  6. soulleymane

    Msaada kidogo

    Wakuu nipo kwenye mkanganyiko kidogo juu ya matokeo haya ya form 6 inakuwaje mtu mwenye 2 ya 12 amepata E,C,D anachukua degree huyu mtu
  7. soulleymane

    Nina mkanganyiko na smart card ya samsung tv

    Ndio naki2mia but zile free channel zinahitaji smart card cna mkuu.
  8. soulleymane

    Nina mkanganyiko na smart card ya samsung tv

    Wakulu nina mkanganyiko na smart card ya samsung tv inch 32 inakuwaje hii ki2 mwenye ideas please help me nakosa Free channel
  9. soulleymane

    Wakuu nina shida ya soft copy ya vuta n' kuvute mwenye nayo au ninapoweza kupata hiki kitabu please.

    Wakuu nina shida ya soft copy ya vuta n' kuvute mwenye nayo au ninapoweza kupata hiki kitabu please.
  10. soulleymane

    Kitabu cha alfu lela ulela hiki hapa download

    Mbn kitabu hakijafika mwisho mkuu why?
Back
Top Bottom