soulleymane
Member
- Dec 12, 2015
- 45
- 15
Wakuu nipo kwenye mkanganyiko kidogo juu ya matokeo haya ya form 6 inakuwaje mtu mwenye 2 ya 12 amepata E,C,D anachukua degree huyu mtu
Asante mkuu maana principle 2 nikajua must uwe na D,D na kuendeleaBila shaka anachukua anasifa zote za degree