Search results

  1. blastus mwakimonya

    Nani mkali kati ya Shaggy na Sean Paul

    Shaggy na Sean Paul ni vizazi tofauti vya dancehall kuwashindanisha Hawa ni ngumu. If u real know their background kimuziki
  2. blastus mwakimonya

    Rais, kwa mara nyingine unatukosea Watumishi wa Umma nyongeza ya mshahara

    Msubiri hela za kusumamia achaguzi🤣🤣🤣🤣
  3. blastus mwakimonya

    Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Mi nachojua mabweni ya kike Kuna matron wao. Kwa shule kubwa ka pandahil haingii akilini kukosa matron Hadi mwalim jimmy aingie kwenye bweni la kike. Kuna Jambo hapo halipo sawa.
  4. blastus mwakimonya

    Joseph Mbilinyi (Sugu): Nitagombea popote atakapogombea Tulia, hatujamalizana!

    Ila Kuna watu wakorofi mweee🙌🙌🙌🤣🤣
  5. blastus mwakimonya

    Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

    Kuna wakati unaweza ukawa na maradhi na ukajihisi upo sawa. Unaweza ukalogwa na usijue kua umelogwa.
  6. blastus mwakimonya

    Wanaume wa nigeria wanavitu special

    Hao jamaa kwao madem wachache na ni gharama so wakija tz wawakute nyie maharage ya Mbeya ndo wanajifanya wanacare. Maana kwao madem ni gombania goli
  7. blastus mwakimonya

    Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned

    Nilikua naye mmoja Kama mwaka mmoja na nusu hivi stress nilizo pata ni za dunia nzima kudadeki
  8. blastus mwakimonya

    Naombeni ushauri wenu kwenye hili

    Kwanza huyo ni mpuuzi sasa Kama anakupenda kweli kwanini afikirie kukuharibia endapohuta msamehe. Wewe endelea tu na kazi zako achana na huyo mpuuzi na pia uache tabia ya kujitongozesha. Mwanamume akikusotea kwa muda ndipo anakuthamini si vinginevyo.
  9. blastus mwakimonya

    Wanawake hatari zaidi hapa Bongo

    Ila we jamaa🤣🤣🤣🤣
  10. blastus mwakimonya

    Je, baba alitutesa au alitufundisha maisha?

    We tofali 100 tu unalia wenzio tulikua tunabeba tofari 5000 tunapanga tanuru. Kiufupi babayenu alikua anawaanda muwe watu ambao sio tegemezi hapo kesho. So apigiwe salute zake za kutosha KUDOS DINGI
  11. blastus mwakimonya

    Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

    Atakuja kukula wewe na huyo mchumba wako. Acha kupenda vya bure na Kama huna hela ujue tu huyo demu wako ataliwa tu na huyo mbunge. Tafuta hela acha kudanga kwa kupitia mpenzi wako. Hivi unqjiskiaje kula hela alio toa mwanamume mwenzio.!?
  12. blastus mwakimonya

    Kamari inapunguza mzunguko wa Fedha kwenye uzalishaji na kufanya maisha yawe magumu, CCM liangalieni hili

    Na saa hiz kila media inatangaza na kusisitiza kubeti isipo kua za kidin tu. Hii Hali sio nzuri hasa ukizingatia michezo hii inawavutia zaid kundi la vijana ambao ndo wanatakiwa kuwa wazalishqji.
  13. blastus mwakimonya

    Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

    Duu hii.story inasisimua.sana
Back
Top Bottom