Search results

  1. I

    Wanaume wabahili na wategemezi

    Duniani hapa kuna mwanaume wanamna hiyo??? mhhhhhh
  2. I

    Wanachuo wakitanzania wanaosoma Algeria na China wanataabika sana

    Poleni sana, kwa sirikali hii ya 5 hela inatafuta za kulipa fadhila kwa waheshimiwa wateuliwa walio msaidia kwenye kampeni, walio kua majipu sasa wageuka keki (Waheshimiwa).
  3. I

    Natafuta External Hard drive

    Kwa anayeuza external hard drive 1T, ani pm, offfer yangu ni 120-130K
  4. I

    Hivi ni kweli Keko imeshindikana kwa ukabaji?

    Polisi wakisikia kuna mgomo au mahali kuna dada poa mbona utawaona faster maeneo hayo, ila kwenye matimbwli kma hayo thubutu hao nani wakutokea, kma panya road tu waliwachachafya mie nimeshuhudia siku moja polisi ubungo baada ya kusikia sauti ya watu wakiita panya road naye aliamua kutimua mbio...
  5. I

    Haya ndiyo mafanikio ya Rais Magufuli katika kipindi cha miezi 8 iliyopita

    Basi wasomi waliopo kwenye taasisi hiyo nao ni jipu, siku hizi kila kitu ni taasisi. utafiti gani bomu kma huu. Na mie nitaanzisha taasisi yangu kufanyia uchunguzi Hela za mafao yetu (PPF) walizozuia,
  6. I

    Nauza Simu Samsung J1

    100k hapana mkuu. ipo kwenye ubora wake sana,
  7. I

    Lady Jaydee apiga dongo gizani "kichwa kama tofali"

    Huo ni ukweli mtupu [emoji121][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
  8. I

    CV ya Goodluck Mlinga, mbunge wa Ulanga Morogoro

    Msilaumu Huyo mbunge, watu wa Ulanga ndo walivo na hicho ndo chema kwao maana angeletwa mwingine toka ulanga kingekua kituko zaidi ya huyo mwana
  9. I

    Bungeni: Goodluck Mlinga(CCM) atoa mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) anamtamani kimapenzi

    Mbunge anawakilisha wananchi wa Ulanga, hivo anaonyesha jinsi gani wananchi wa Ulanga walivo maana kwao ndo kilicho bora kwao. Duuuuuuuuh ngoja Trump amsikie.
  10. I

    Nauza Simu Samsung J1

    kwa aliye tayari anicheki kwenye 0654797526
  11. I

    Nauza Simu Samsung J1

    Nauza simu yangu mwenyewe Samsung Galaxy J1 kwa 190,000/= Tsh. naomba kwa mwenye kuihitaji anicheki. Simu ni original ipo poa sana.
  12. I

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Na mimi sio mwalimu, ili mradi ujumbe umefika. lengo lilikua kupata uhakika wa minong'ono ninayoisikia sio mambo ya lugha. Asante
  13. I

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Ndugu wana JF kuna uvumi unaoendelea kua baba J pamoja na wenzake kwa wale walio wachagua eti kwasasa wamezuia ajila mpya hivyo hapatakua na nafasi za kuajiliwa mtu mpaka watakapo jisikia kufanya hivyo. Tafadhali mwenye taarifa kamili atujuze hapa. ***************** KWA WALIO NA WATARAJIAO KUWA...
  14. I

    Yametimia: Wenye nyumba sasa kulipa kodi

    Watoe kazi hao wazee walizouia kwa mwaka
  15. I

    Saikolojia na mafunzo ya polisi ni tatizo

    Hao akina nani wa TZ hii vichwa bomu sana, wakistaafu sasa ndo utawaonea huruma kitaa, akili yao sijui hua wanawaza nn. Wakiambiwa kuna wezi thubutu hawatokei ila wakiambia kuna maandamano sehem fulani siku fulani hua wanatamani siku hiyo ifike mapema wapewe posho za 20,000 ila hawaelewi watu...
  16. I

    Wizi maeneo ya Goba, polisi tusaidieni

    Hili nalo ni Jipu, hakika
  17. I

    Kuna aliyeomba kazi Zoom Tanzania akaitwa interview?

    Kwa wale vijana mnao omba kazi kwa kupitia mtandao wa www.zoomtanzania.com tafadhari kuweni makini na mtandao huo. Kumekua na majambazi wanaotumia kwa ajili ya kuwalubuni watu kupitia mtandao huo, zoomtanzania wanachokifanya kwenye matangazo ya kazi ni kwamba wanatoa anuani au link ya kazi...
  18. I

    Updates zoezi la kuzima simu bandia

    Hahahahahaha. utazimaje simu fake wakati mtandao wenyewe wakuzimia simu ni feki, hata yule mtu wa kuzima naye ni feki na anamiliki simu kubwaaaaaa la kichina ambalo ni feki, mkewe na michepuko yake yote inatumia simu feki kwakubana matumizi, mama yake kule kijijini Sigimbi anatumia simu feki...
  19. I

    UKAWA kurudi bungeni

    Hawa jamaa hawajielewi kabisa kwakweli, wengi wapiga pesa tu hakuna lolote, kusitishiwa posho na wameona kitaa pamenuka ndo wanaamua kuludi eti kwa maslahi mapana ya Taifa, wanafiki tu, na tumekwisha wafahamu vizuri tabia zao.
  20. I

    Nimempenda Barmaid

    Bar gani hiyo mkuu? hahahaha
Back
Top Bottom