Search results

  1. Php

    Fahamu sababu ya Kalamu ya Bic kuwa na kitobo kwenye kifuniko!

    UJAFANYA UTAFITI BALI UMEAMUA KUFURAHISHA WATU kwa SABABU ZIFUATAZO:_ 1.ukimeza kitu kwakawaida kinaenda ktk koo la chakula na si vinginevyo,ikitokea kimeingia koo la hewa utakohoa ad ujambe! 2.ikitokea umekimeza kimekaa horizontal hewa itapitaje? 3.kiufund pen inawekwa shimo kwa malengo ya...
  2. Php

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    tu tu sa! nimaneno yanayotumiwa sana na wacheza bao.
  3. Php

    Kubenea na muongozo wa udhalilishaji kwa wabunge wa kike wa UKAWA

    walisema asubuhi litarusha live ila mchana halitarushwa live badala ya litaoneshwa recorded usiku baada ya taarifa ya habar
  4. Php

    Kubenea na muongozo wa udhalilishaji kwa wabunge wa kike wa UKAWA

    hata kiungo chako cha mwili kikitajwa na mtu mwingine kinaonekana tusi, hivyo kama kweli aliyatamka maneno yayo anabud kuwataka radhi,kwan yy ndio aliyewazalilisha. yey alijuaje kam walivuliwa shanga? mbona wenyewe hawajalalamika km ni kweli, Pilipili usiyoila inakuwashia nn?
  5. Php

    Tendo la ndoa ni muhimu katika maisha ya mwanadamu

    Sio kila ushauri unaopewa bas uutumie, maana wengine wanafikiria kuongeza vidumu,wenye wenza walioko mbal wanafikilia kuchukua wafanya kaz wa nyumban.. acheni hiyo tabia, haya ni mambo ya kufikirika tu!
  6. Php

    Huyu baba nampenda lakini hanielewi

    Kupenda sio kazi ,kaz kupendwa! sasa je yy anakupenda? kama anakupenda hongera...
  7. Php

    Serikali yatoa vipaumbele vyake kwa wananchi

    Mimi nimeshapima ,nakushaur ukapime tez dume! kwa hyo nn mawazo yako ?? wasipunguze den?? kama kila mwez takwim zinaonesha kunaongezo la ukusanyaj wa mapatao kama mwez huu january sichin ya 1.5t kwann bada ya miaka kadhaa tusipunguze kama sio kumaliza kbs den..
  8. Php

    Serikali yatoa vipaumbele vyake kwa wananchi

    tukiendelea kwa kasi hii ya kukusanya mapato inawezekana kabisa, ninaiman hiyo.
  9. Php

    Bunge lafyeka mishahara

    walianza kazi baada ya kula kiapo,hivyo hiyo pesa waliolipwa 1.4 ni sawa kbs, Tena kunaumuhimu kwa wabunge watao susia na kutoka nje wasipewe posho kwa siku husika. Kwan kama kweli wanatetea haki za raia kwa kutoka nje why wasign posho? Kutoka nje au kupiga keleke kwa msomi si njia nzuri ya...
  10. Php

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Jambazi? mtoto akiwa jambazi namkana.
  11. Php

    Busara alizonipa baba juu ya wanawake

    BAADA YA KUTOA USHAURI KWA BINTIE, BABA HAKUMUACHA NYUMA KIJANA WAKE WA KIUME ALIMPA BUSARA ZIFUATAZO KATIKA KUTAFUTA MKE Mwanangu kwa unyenyekevu mkubwa napenda niwe mkweli kwako. Usiweke kipaumbele kuoa mwanamke kwa kuangalia size ya makalio yake au size ya maziwa yake ila jali sana size ya...
  12. Php

    Biashara zinazotumia mfumo wa "Network Marketing" na Ulaghai uliofichwa ndani yake

    Walio fanikiwa waje kutoa ushuhuda hapa... maana hapa bado wengine tuko gizan juu ya hili.
  13. Php

    Padri huyu analidhalilisha kanisa Katoliki parokia ya Kirumba

    Kila sehemu zina sheria ,taratibu na kanuni zake,ili kuwa ktk sehm husika hauna bud kufuata hizo taratibu na sheria za hapo. Alicho/anachokifanya paroko huyo si sahihi kulingana na sheria ,kanuni na taratibu za kanisa katoliki. Penye ukweli tuseme ukweli,kama sheria inakutaka ufanye hiv wewe...
  14. Php

    Ushauri: Nataka kujiajiri kwenye programming

    sio kosa lako ,unashindwa kutofautisha uandish wa story na implementation za algorithm
  15. Php

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tule tunenepe kama pipa.
  16. Php

    Mpenzi wake amechukua fani ya Engineer, na anaogopa atakuwa mchafu

    Usafi ni tabia kutoka utoto,wewe kama engineer alaf mchaf bas hiyo ni tabia yako ya uchaf umekua nayo. Kikubwa ni tabia, profession ya mtu sio kigezo,mbona madaktar wanavaa nguo fup mapaja nje husem? Kama unataka wa kuangalia family oa mwalim kwan mwalmu anamaadil kwa nyanja,uvaaji,tabia nk...
  17. Php

    JIPU lingine TRA : Tumekamata simu 2,744 za StarTimes

    atleast inatia moyo,itafika itafikia kipind tutapunguza kias fulan,
  18. Php

    Wewe ni mfugaji? Uliza swali lolote la kitaalam nikusaidie

    Kwanza nitoe shukran kwa kushare nasi taalum yako kwa kuruhusu maswali. Ningelipenda kujua,ninatarajia kuwa mfugaji wa kuku wa kienyeji ,vitu gan mhm vya kuanza navyo ukiachana na banda? atleast nianze na kuku wangapi? Hapa nilipo ugonjwa wa kuku unaosumbua sana ni wa kuku kunya kinyes cheupe...
  19. Php

    Membe: Sitanyamaza, ni haki yangu

    Binadamu hanaga jema,siku zote huwez kukubalika na watu wote,huo ndio ukweli. Anachokifanya mh JPM yuko sahh kabisa kwan anafuata katiba ,na nchi ilifikia pabaya hivyo tukianza kubembekezana hatutofika. Ifike hatua mtu anapotenda jambo kwa faida ya wote apongezwe,hao wanaolalamika ndio...
Back
Top Bottom