Search results

  1. Mwanabalagha

    Msaada tutani wakuu

    Habari za muda huu wakuu..... Ipo hivi kuna dogo kamaliza form 4 last year alipata div 4 ya 26.... Sasa kaomba kozi vyuo vya serikali kachaguliwa asomee udaktari wa wanyama.... Bahati mbaya mi hiyo sector siifahamu vizuri so naomba mnijuze kama hiyo kozi inalipa? Demand yake kwenye soko la...
  2. Mwanabalagha

    Sikujua mapenzi yana nguvu namna hii, nahisi kufa kufa

    Habari za saa hii wakuu, Leo nakuja tena kuomba ushauri kwenu, nikiwa na majonzi mwili mzima sio moyoni tu. Ni hivi nina mchumba ambaye nishamtolea barua na huu mwezi wa nane tulipanga tupeleke mahali. Sasa kilichotokea juzi usiku kuna sms iliingia kwenye simu yangu iliyoandikwa hivi:-...
  3. Mwanabalagha

    Nilichoambiwa nyumbani baada ya kumtambulisha mchumba wangu

    Habari za saa hii wadau, Hope mko poa na mishe zinasonga hata kama ni kiubishi... Ni hivi; Moja kati ya siku chache zilizopita niliamua kumpeleka mchumba wangu kwetu.Mimi najitegemea na ninaishi mbali kidogo na familia yetu kutokana na kazi.Baada ya kufika nae tulikaa pale tukapiga stori...
  4. Mwanabalagha

    Huyu dada mtu simuelewi kabisa!!

    Habari za saa hii wananzengo...? Kiufupi ni kwamba, miaka miwili nyuma kuna msichana mgeni nilimuona mtaani kwangu.Sasa baada ya kupeleleza nikaambiwa amekuja kumtembelea dada yake hapo mtaani, kwasababu aliyavuta macho yangu moyo nao ukataka kutoka kumfuata lakini bahati mbaya ukakwama kwenye...
  5. Mwanabalagha

    Nyumba nyingine bwana...

    Nyumba nyingine bwana kila ukizitimbelea fridge lina maji tu hakuna kinywaji kingine, sasa hilo fridge au sim-tanki? loh!! mniache sifugi samaki tumboni mie.
  6. Mwanabalagha

    Njoo ucheke ufeeeee....

    Dah! hili joto la Dar.. bwana sasa limezidi, muda mwingine unaweza ukawa unatembea huku unasikia harufu ya mishikaki...kumbe ni we mwenyewe unaungua.
  7. Mwanabalagha

    Huyu binti ni mrembo kwa kweli, ila hapa tu ndo anaponikoseshaga raha

    Habari za jioni wakuu? Kwa uwezo wa MUNGU natumain nyote mu wazima. Mi ni mgeni humu kwa kuleta post ila ni mwenyeji sana wakusoma post za watu mbalimbali humu tangu enzi za mwalimu. Sasa picha linakuja hivi mimi ni kijana wa kiume, naishi kwangu yaan nimejitegemea tayari. Katika...
  8. Mwanabalagha

    Hodi JF

    Habari zenu wananzengo? Ni memba mpya hapa naitwa MAGAYE kitambo sana, nilikuwa nafatilia mijadala mbalimbali humu, ila sasa nimeona ni vyema nami nikajumuika ili nifaidi zaidi. Natumaini upokeo wenu wa upendo kabisa.
Back
Top Bottom