Search results

  1. ffrrank

    Naomba kujua ukweli wa hili

    Habari wana JF, Naomba kujua kama kuna ukweli kuhusu jamii ya miti inayo pendelewa kupandwa kwa ajili ya kivuli ambayo matawi hukua kwa ngazi siifahamu jina ila naijua kwa jina maarufu mingazi. Kuna tetesi kuwa hii miti haifai kupandwa hasa maeneo ya nyumbani kwa sababu za kiimani, je wa kuu...
  2. ffrrank

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mhhh!!!
  3. ffrrank

    Mitego mahiri ya kunasa warembo

    Kaazi kwel kweli
  4. ffrrank

    Inauma sana: Pesa za kununua madiwani, mandege na uchaguzi zipo ila pesa za kupandisha watumishi madaraja na mshahara hazipo

    Kama kweli kunamtumishi waidara yoyote aliyefurahishwa na kauli yaleo na mpa pole sana.
  5. ffrrank

    Kutokea 2019 kuelekea 2020 mengi mtayaona

    Nyongeza ya Mishahara, Madaraja, mh!
  6. ffrrank

    Msaada Jinsi ya kutumia laini ya simu kwenye laptop

    Nashukuru mkuu kwa maelekezo.
  7. ffrrank

    Msaada Jinsi ya kutumia laini ya simu kwenye laptop

    Habari za majukumu wana Jf ,nina laptop ambayo ina sehemu ya kuweka lain ya simu nimejaribu kuweka lakin sijaona iki fanya kazi. Naomba kujua kama inaweza kufanya kazi.
  8. ffrrank

    Naombeni tabia za wanaume wa Kipare kwenye mahusiano!!

    da Inawezekana una ugomvi na hawa raia sio bure aithee!!!!!!!!!!!
  9. ffrrank

    Hivi jamani kwanini wanawake hamna mapenzi ya kweli?

    Sio wewe tu mkuu mimi mwenyewe nipo kuuguza presha na vidonda vya tumbo.
  10. ffrrank

    NOKIA N8, N9

    Kwema wana JF naomba kuuliza kama naweza kupata mojawapo ya hizo simu ikiwa bado mpya
  11. ffrrank

    Utafiti: Wanawake wafupi wenye mwili mdogo

    Inaewzekana mkuu acha kukumbushia machungu maana kuta za nyumba zina ficha mengi
  12. ffrrank

    Fujitsu LIFEBOOK AH531 Notebook

    Ninauza fujitsu laptop AH531 Lifebook Windows 10 -Processor: Intel(R) Core(TM) i5-2410M CPU @ 2.30GHz -RAM; 4.00GB -Dsck; 500GB -System type; 32-bit Operating System x64-based processor Ipo katika hali nzuri pamoja na charger yake ,bei ni Tsh 650,000/= una weza pia ku google kuangalia sifa na...
  13. ffrrank

    Ushauri: Kuna tatizo lolote kukaa karibu na wakwe?

    Nashukuru kwa maoni na ushauri mlio nipa Wakuu kama wapo wengine bado nita pokea ushauri .
  14. ffrrank

    Ushauri: Kuna tatizo lolote kukaa karibu na wakwe?

    Nashukuru kwa maoni na ushauri wako
Back
Top Bottom