Search results

  1. Boiker

    Kwenda ruvu kuripoti

    Kuwa makini sanaa na pori juzi hapa MT 691……Private……kapambana na chatu mwanzo mwisho mpka chatu akaomba taulo….. Karibu danger coy ya demo
  2. Boiker

    Msaada wa kupata Admission letter!

    Mbona ni rahisi sana,unatumia reg number ambayo ipo kwenye admission letter
  3. Boiker

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

    Naomba kuuliza,kwani huwez fanya mitihan ya bodi bila kusoma kwenye hyo centre (CFC)… Mfano mimi nikilipia tu mitihan ya bodi si naruhusiwa kufanya ama kigezo mpka uwe umesoma kwa hyo review classes centre
  4. Boiker

    Nikisomea Laboratory Technology katika chuo cha Arusha Technical College nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?

    ATC hawatoi Medical laboratory science ambayo ni moja ya allied science courses so ukisoma laboratory technology ya ATC huwez fanya kazi kwenye hospital labs,zaid utafanya sehem kama viwandan nk
  5. Boiker

    Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

    Sema inabidi ukutane nae siku moja uone show Sitasahau 2015 nipo kwa bibi likizo…..sasa usiku bibi kaniagiza ndani kuchukua unga kulkua na mwanga hafifu wa mshumaa ile kuingia ndani tu hivi mjomba huyu hapa anazama kwenye gunia za mahindi daah….
  6. Boiker

    Wadau ingekuwa ni wewe ungemfanyaje huyu mwanamke?

    Kwani shule hazijafunguliwa bado…..
  7. Boiker

    Mwanaume wenzangu hii imekaje?

    Kataa ndoa…
  8. Boiker

    Mhudumu wa Songea

    Huu mwaka utakua mrefu sana
  9. Boiker

    Ushauri kuhusu Alteza

    Wenye altezza wanahisi kila mtu anakimbizana nao barabarani………ni mbio tu wao[emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Boiker

    Mwanamke akishajua unampenda hakuna rangi utaacha kuiona

    Ngoja waje tuwasikie wanasemaje
  11. Boiker

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wale wa TMDA jamani tupeane lonja au kama kuna mtu ako na Abc’s
  12. Boiker

    Mpangaji anahesabika ni mvamizi mara tu kodi yake inapoisha

    Naomba kueleweshwa hapo hyo notisi inamuhusu mpangaji ambaye kodi yake imeisha ama vip
  13. Boiker

    Huduma ya kubadili majina naomba ifutwe Tanzania

    Swali zuri saaana… Nipo kwenye mchakato wa kubadili majina ili yafanane na ya kwenye NIDA… Pamoja na kupata deed poll sina hakika kama watabadlisha majina ya kwenye nyaraka zang kama Passport,Driving Licence Ngoja tusubiri mamlaka
  14. Boiker

    Kama kula kwako ni kwa shida, nakushauri usioe

    Ndoa sio ya kila mtu…. Mwenye kuweza na aoe asiyeweza aache…. Tusipangiane Maisha[emoji23][emoji23][emoji23] Manara kaoa pisi kali kinoma yaan ule msiba[emoji1][emoji1]
  15. Boiker

    GPA 2.9 unaweza endelea degree?

    Na unategemea kabsa atafaulu hyo Foundation course then akipata 3 akasome degree chuo gan.. Hyo ada bora akalime nyanya ifakara morogoro huko tena vibarua wapo ni hela yako
  16. Boiker

    Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

    Mshana kuna jamaa nilsoma nae o.level baadae kaenda kenya kusomea mambo ya Body Embalming(kuhudumia maiti) alkua vzur tu huu ni karibu mwaka nne yuko katika hyo kazi…. Mara ya mwisho nmeonana nae tumekaa wote kama siku tatu hiv ila namuona hayuko sawa kuna muda anaongea mwenyew tu mara analia...
  17. Boiker

    Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

    Miaka sita imepita tangu ufungua huu uzi…. Kongole Bro Mshana[emoji1420]
  18. Boiker

    Kama kula kwako ni kwa shida, nakushauri usioe

    Kataa ndoa.. Usioe….
  19. Boiker

    Marafiki tuliosoma Shule moja tutafutane hapa

    Hahaaaa kwamba sina akili wakati nawalisha ukoo wenu wote em muulize mama yako anaewalea toka unajikojolea mpka sahv nan Kisha uhame kwa dada ako…..ndo uje uongee huku
Back
Top Bottom