Search results

  1. M

    Waziri wa JK akimbia wanafunzi wa muhimbili

    kuna waziri mmoja anaitwa Prf Makame Mbalawa alikuwa amekuja muhimbili university kuja kujionea mambo ya miaka 50 yao, Baada ya kufika akakutana na mabango ya wanafunzi yenye ujumbe kama ifuatavyo 1. WANAFUNZI WANAPINGA ONGEZEKO LA POSHO ZA WABUNGE 2. CHAMA CHA WANAFUNZI KILIFUTWA(MUHASSO)...
  2. M

    Asante sana kwa wale wanaovujisha siri za ccm

    Watu wanasema kuwa kila kitu ukiwa unafanya lazima kiwe na Malengo, Nimekuwa mdau kidogo wa kuangalia MOVIE za muendelezo. Asilimia nyingi ya hizi movie zinafanikisha kazi za kupendwa lazima awepo MSALITI ili starling afanikishe mission au mlengwa apewe kibano cha nguvu. Sasa kwa jinsi...
  3. M

    Wanafunzi wa elimu ya juu tubadilishe mitizamo yetu kiuzalendo zaidi

    Nimekuwa mwanafunzi wa elimu ya juu kwa miaka minne sasa at least nimekuwa na uzoefu wa nini kinaendelea na nimeshiriki kwenye harakati nyingi za kubadilisha maisha yangu na wanafunzi wenzangu katika good way. Ila nimegundua kuwa hapa nchini katika migomo inayofanikiwa kwa kiwango kikubwa basi...
  4. M

    Udom-college of education wapo mbioni kugoma

    poleni kwa kucheleweshewa booom, but hiyo nembo uliyotumia inawaza iwachefue magamba na mkashindwa kuungana nao ktk kugoma
  5. M

    Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

    pole sana mh, hope u wl be fine soon coz we pray 4 u and stl we need u, viongozi wengine wajifunze kuweka mambo wazi coz suala la kuumwa ni kwa binadamu yeyote ili kuondoa sintofahamu na suala zima la kuanza kupiga ramli katika zama hizi za science and technology. pole it will recover soon after...
  6. M

    Mapendekezo ya siku za malipo ya dowans

    Wadau nawaomba MAGAMBA wakiamua kuilipa dowans basi wafanye siku ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa tanganyika au siku ya nyerere day ikishidikana wafanye 2015 wakati wa kikao chao cha kumteua candidate wa kugombea urais ; NIA ILI WATU WAWE AWARE NA MAPINDUZI YAANZIE HAPO AU KWENYE UCHAGUZI...
  7. M

    Nchi inamshinda JK - Heche (Mkiti wa BAVICHA)

    To be honest nchi inayumba mno na huwa tujifunze ktk hili kuwa hasa sisi tunaotafuta maisha tu ya kawaida. The way unavyotafuta pesa ndivyo utaishi na kutumia hizo pesa. Hata kama unasoma angalia usiwe ombaomba sana jikite kwa mtu anaekusomesha, hii maana yake ni kuwa jamaa wakati anaingia...
  8. M

    Tumbo wa CHADEMA ataka kurithi 'viatu' vya Rostam

    maoni yangu ni kuwa waangalie m2 wa igunga hukohuko sio suala la kutafuta m2 wa mbali muanze kupata taabu ya kumuuza.
  9. M

    Mbunge Esther Matiku Hajui Kiswahili AU Mikogo tu ya Kiswa-english?

    Kama amechangia vizuri well and good.But the issue is hawa dada zetu walio wengi kiuga kwingi mpaka wana bore sio yy tu....Wapo wengine wanavyofika vyuoni wanakuwa wanaongea vizuri ila as tyme goes ni wanabana pua mpaka kero kuchanganya lugha at least we can torelate but huko kubana pua na...
  10. M

    Mapinduzi yaja Tanzania

    Kweli jk aondoke coz hao watu anaowabeba wana kiburi na wanaringia matunda ya wezee wetu huko vijijini walipa kodi,yani jamaa anawabeba washikaji wake, tupunguze ushabiki wa ajabu this true hiyo ccm ni mzigo na hao wanaojiita wapambanaji wa ufisadi wanatupumbaza. Lengo lao ni kujiandaa kula kwa...
  11. M

    Wananchi sasa wamchoka JK

    this is coz siasa za bongo zina uongo mwingi and lack of accountability.Haiwezekani nchi ipo gizani afu mkuu wa kaya anapeta kwenye ful URANIUM ELECTRICITY ile hali nchi ina taabika
  12. M

    Jairo ajiuzulu wadhifa wake

    angeanza Ngeleja ndo ningeona kuna utawala wa haki coz katibu yuko chini yake and huyo ni mgeni tu kwenye hiyo wizara lazima ni maelekezo kutoka kwa m2 mwingine hiyo ngoma bado mbichi. NGELEJA ACHIA HIZO OFA ZA TANESCO KUPEWA UMEME WA BURE
  13. M

    Chuo kikuu Muhimbili chafuta chama cha wanafunzi (students' organization)- muhasso

    YANI HAPA NAMAANISHA WANAFUNZI TULIKATAA KU COMPLY WITH GOVERNOMENT NOTICE(GN178) AMBAYO INAHITAJI WANAFUNZI WANAOGOMBEA CHEO CHOCHOTE KWENYE SERIKALI YAO LAZIMA WAWE NA GPA YA 3 AND ABOVE NA INAWABAGUA WALE WENYE GPA BELOW ETI WATAFELI ZAIDI WHILE UONGOZI NI KIPAJI COZ KUNA WATU NI WABUNGE...
  14. M

    Chuo kikuu Muhimbili chafuta chama cha wanafunzi (students' organization)- muhasso

    yani hapa namaanisha mtu ili aweze kugombea uongozi kama urais na ngazi zingine kwa hapa chuoni ni lazima afikishe hiyo gpa our concern is uongozi sio kupiga msuli sana ni kipaji afu kingine ni kuwa hizi serikali ziliwekwa kwa ajili ya wanafunzi iweje dean of students awe na mamlaka makubwa...
  15. M

    Chuo kikuu Muhimbili chafuta chama cha wanafunzi (students' organization)- muhasso

    Katika kile kinachoonekana ni kuwa wavivu wa kufikiria hatimaye MUHIMBILI UNIVERSITY COUNCIL imefuta rasmi student organization kwa sababu imeshindwa to comply na GN178,VIPENGELE VYA HIYO GOVERNMENT NOTICE INA MAPUNGUFU YAFUATAYO; INATAKA WATU WAGOMBEE UONGOZI WENYE GPA FROM 3 AND ABOVE(Je ni...
  16. M

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    dah yani hito coment ya jamaa inaonesha uhalisia wa yeye alivyo
  17. M

    Tutafakali kwa pamoja hili joto la kisiasa na maandamano yanayoendelea

    Huwa nawaza why after the general election why all these are happening and these my findings. watu hawajaridhika na matokeo ya urais na wengi wa waelewa wa mambo waliyempigia kura hakupita either kura zilichakachuliwa au hazikutosha. Wengi walipenda Dr.[phD]Slaa awe presidaa sia kwa sababu...
  18. M

    wanafunzi Muhimbili wagoma

    yah hao waliogoma ni school of medicine and dental issue ni walezi wao i mean deans ni hawawatendei haki and failure rate ya clinical years ni kubwa and problems ni lecturers ARE so harsh . Another thing kuna hela zao za fieldwork DEAN WAO anapanga kuzipunguza kutoka laki 7 hadI LAKI NNE yani...
  19. M

    maoni yangu kuhusu jamiiforums

    personally nawashukuru mlio design hii kitu but what am i discouraged is some of information are not true yani mtu anakaa afu analeta info ambazo chanzo utata sasa if we are great thinker kweli let we change this habit. sio lazima daily upost au ka vp nenda ata facebook huko u can chat anything...
  20. M

    Walioongopea Kamati Watakiona - Dr. Mwakyembe

    ile issue bora wangeendesha tu akina dr. slaa coz wat i see by that time mwakyembe was very commited ila sasa baadaye aliangalia maslahi ya chama zaidi and kwa upande wa kamati unaona walivyokuja kunywea so it goes as we see now hata mwakyembe wa 2008 sio huyu wa sasa ingekuwa sio waziri i think...
Back
Top Bottom