Tutafakali kwa pamoja hili joto la kisiasa na maandamano yanayoendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutafakali kwa pamoja hili joto la kisiasa na maandamano yanayoendelea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwakabana, Feb 3, 2011.

 1. m

  mwakabana Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwa nawaza why after the general election why all these are happening and these my findings.
  1. watu hawajaridhika na matokeo ya urais na wengi wa waelewa wa mambo waliyempigia kura hakupita either kura zilichakachuliwa au hazikutosha.
  2. Wengi walipenda Dr.[phD]Slaa awe presidaa sia kwa sababu hawaipendi ccm totaly but sera za chama chake na na mzee ni muadilifu[appearance] huu ni mtazamo wangu
  3. Bado wanaamini kuna njia ya huyu mzee kuwa rais before 2015 hata kama hayuko magogoni kwani hata taarifa zake watu bado wana interest ya kusikiliza what he is adressing.
  4. Watu bado wanawahitaji kuona viongozi waropokaji ndani ya ccm waendelee kuwepo ili ccm iendelee kupoteza zaidi.
  5. Watu wanapenda serikali ya ccm iendelee kuharibu zaid kama issue za DOWANS.
  MAONI YANGU.
  • Serikali ikae chini na sasa ione umuhimu wa kuona dr phD ili aweze kurudisha tumaini jipya ili awe greater part of the govt ili atekeleze yafuatayo
  1. Atoe program ya kushusha bei ya vifaa vya ujenzi ili watu wanunue bati 5000 na cment.
  2. Asaidie kuvunja baraza la mawaziri ili liwe dogo,tuuze ndege ya rais tuuze mashangingi and all thing and apunguze salary za wabunge hadi mil 1.5 au chini ya hapo ili ubunge uwe ni utumishi and not utukufu.
  3. Kwa sababu wanapenda wanaendelea kukaa madalakani waendelee ila yee awe mtendaji mkuu as prime minister who is strong than presidaa.
  u can add
  coz sio siri people are tired and we dont want to end on daily use upuuzi wa intiliginsia, risasi za moto and chadema ndio wanaanzisha migomo not true. We should realize that dr anapendwa na ana mvuto and anaonekana ka Nyerere for this time[mtazamo wangu]. SERIKALI IFANYE SERIOUS NA ISOME ALAMA ZA NYAKATI
   
Loading...