maoni yangu kuhusu jamiiforums

mwakabana

Member
Dec 15, 2010
31
7
personally nawashukuru mlio design hii kitu but what am i discouraged is some of information are not true yani mtu anakaa afu analeta info ambazo chanzo utata sasa if we are great thinker kweli let we change this habit. sio lazima daily upost au ka vp nenda ata facebook huko u can chat anything sio mnatuletea miinfo ya kupika we spare our tough schedule then unafungua wat u find ni vitu vya kufikirika kwa ss who take health sciences we regard u either u hallucinating or psychotics or or depressed or psychiatric am scared but i wil stil speak out
 
Ndugu yangu ukishakuwa mtandao wa jamii lazima ukubaliane na changamoto zake ambazo ni pamoja na watu wenye tabia tofauti tofauti. Nivigumu kwa mitandao ya jamii kufanya unachokitaka hiyo inawezekana kwenye website za makampuni au taasisi ambazo zinaweka taarifa kwa maslahi flani. Kama great thinker lazima uwe na uwezo wa kungundua hii taarifa ni ya kubuni kwa kusoma mistari michache tu hivyo unaweza kuiacha. Vilevile lazima ukubali kuwa mtu anaweza kutoa mawazo yake binafsi kwa kuangalia mazingira husuka au jamii na ikawa na msaada kuliko hata taarifa alizo ziokota kutoka kwenye vyombo vingine vya habari. Tafadhali tuvumiliane mimi naona bado JF ndio mtandao pekee TZ ambapo watu wanajadili mambo ya msingi yawe yametoka kwenye vyomba vya habari au mawazo ya mtu binafsi.
 
labda itengenezwe section ya vitu vya ukweli tu....na mtu akiweka kitu cha uongo awe banned...unaonaje?
 
Kwa kuongezea, ndo maana kuna majukwa tofauti ili kuhakikisha kila habari inapata mahali pake, hata kama ni jokes za kutunga
 
Back
Top Bottom