Search results

  1. kasanga70

    Morali Imekata Kabisa

    Duu
  2. kasanga70

    Morali Imekata Kabisa

    Daa inawezekana things are very tiresome
  3. kasanga70

    Morali Imekata Kabisa

    Wasalaam Takribani miaka 25 iliyopita nilikuwa natamani sana kufahamu mama Tanzania amebeba matarajio yangu ya kimaisha kwa kiasi Gani. Nilifatilia sana siasa za nchi yangu, nilijihusisha na siasa, nilifatilia bunge jeshi letu,watu maarufu viongozi wa siasa n.k nilitamani wawe role model...
  4. kasanga70

    Nchi inaliwa jamani wanavuna bila huruma hii hapana kuweni na kiasi

    Niliongea hapa juzi kuna watu wametukana sana kwa kisingizio kuwa wanaoiba wanawekeza hapahapa Tanzania....nilichoka sana hizi ndio akili za watanzania wanaoiba.
  5. kasanga70

    Wanaokwapua na kuficha pesa ya umma 2025 hamtakuwepo

    Umemaliza.....! Baada na kabla ya 2025
  6. kasanga70

    Wanaokwapua na kuficha pesa ya umma 2025 hamtakuwepo

    Kwa kweli siku zote huwa ni hivo mwenye pesa huwa anaona amefika mwisho
  7. kasanga70

    Wanaokwapua na kuficha pesa ya umma 2025 hamtakuwepo

    Sawa bosi ngoja niendelee kupambana na hali yangu
  8. kasanga70

    Wanaokwapua na kuficha pesa ya umma 2025 hamtakuwepo

    Nenda shule ndg....at least uelewe ujumbe.. i dont suggest.
  9. kasanga70

    Wanaokwapua na kuficha pesa ya umma 2025 hamtakuwepo

    Katiba mpya haijawahi kumzuia shetani kufanya kazi. Think big.
  10. kasanga70

    Wanaokwapua na kuficha pesa ya umma 2025 hamtakuwepo

    I know my office rafiki yaani wewe unaona kuingia kwenye mfumo ndio maisha siooo....! Soo sad.
  11. kasanga70

    Wanaokwapua na kuficha pesa ya umma 2025 hamtakuwepo

    Taifa letu ni shamba la bibi kwa baadhi ya familia na koo fulani. Katika kipindi hichi kuna koo, familia na baadhi ya watu fulani utajiri wao utaongezeka mara dufu yaani. Napenda kuwakumbusha tu taifa hili lina watu maskini wengi sana tena wanateseka mno wakati mwingine kwa sababu ya mifumo...
  12. kasanga70

    Shida ya Yanga imeanzia hapa

    Rudi kwenye mada usikurupuke
  13. kasanga70

    Shida ya Yanga imeanzia hapa

    Nadhani umenipata mkuu
  14. kasanga70

    Shida ya Yanga imeanzia hapa

    Naomba nieleweke, naongea kikubwa hapa, wale wenye uzito watanielewa. Na kwa hili sirejei mechi yenu ya kesho, ombeni Mungu anaweza kuwasaidia. "Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani yako, yaani afe, asifanikiwe, akwame", uchawi huu huwa unafeli sana na matokeo huwa yanamrudia...
  15. kasanga70

    Simba Sports Club kazi mnayo

    Nadhani majibu na KMC Leo tumeyaona hamna timu jamani tuendelee kujifariji tuu
  16. kasanga70

    Simba Sports Club kazi mnayo

    Kwa mtizamo wangu Phiri pekeake ndio naona anaweza tusaidia...hawa wengine sioni mpira wao kbs wanaishia kureceive na kurelease baasi pia hawana nguvu uwanjani. Chama nae keshaanza kulewa sifa
  17. kasanga70

    Simba Sports Club kazi mnayo

    Hahahaa sawa ujasiriamali peke ake hauleti furaha....maisha ni mchakato Wa kutafuta furaha....vitu Vya kijamii navyo vina nafasi yake
  18. kasanga70

    Simba Sports Club kazi mnayo

    Sio suala LA kujiwahi...tuna mashindano muhimu mbele yetu tunahitaji consistence ktk performance sio pata potea
  19. kasanga70

    Simba Sports Club kazi mnayo

    Ukweli lazima usemwe sijui scouting yao ya wachezaji huwa inazingatia nini...una sajili c grade players then unatarajia b na a grade performance? To be honest mm si mdau Wa yanga afrika but navutiwa na timu yao ipo very competitive...with tough players sio utelembwe utelembwe uwanjani safari hii...
Back
Top Bottom