Search results

  1. tity

    TILES/MALUMALU BORA ZA TWYFORD

    kwa anahitaji tiles na vyoo vya kila aina kwa ajili ya ujenzi au biashara kwa bei ya chini kabisa kutoka kiwandani moja kwa moja wasiliana na mimi..0766407555..
  2. tity

    Wakwepa kodi watumia mgongo wa UDA

    Nahisi kabisa zile siku saba zilizotolewa zilikuwa maalumu kwa kulibeba shirika la UDA haswa baada ya kupata wakati mgumu wa kuwawajibisha wamiliki wa shirika hilo na ikiwa ni pamoja na kushindwa kuwaweka hadharani ili wafahamike. UDA limekuwa jipu kubwa sana aise.. "Bakhresa katuhumiwa tu...
  3. tity

    Fungua ITV hotuba ya Mh. Rais inarudiwa

    siasa ni mchezo wa kuchezea watu akili,JIPU LA UDA LIMESHINDIKANA naona wanatoa siku saba...baada ya siku 7 tutaskia UDA haidaiwi tena kodi na mmiliki hatotajwa...
  4. tity

    Bulembo: Hazina haina fedha za kutosha

    rudi shule...hujui unachokizungumza na wala hujui maana ya hazina kuishiwa pesa...kaongeze elimu ndio uje utetee hoja hapa.
  5. tity

    Bulembo: Hazina haina fedha za kutosha

    mwambie arudi shule...itamchukua miaka mingi sana kuelewa mambo
  6. tity

    Magufuli kama ni hivi, okoa mda tu

    Kama Magufuli utakuwa unawawajibisha watumishi kwa kuangalia makosa waliyofanya kwenye serikali zilizopita, sioni kama kuna hata haja kufanya ziara za kushitukiza maana hakuna atakaepona! "Fukuza wote anza kuajiri upya"...save time!
  7. tity

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    1.naona wawekezaji wengi wakifunga makampuni yao na kukimbia nchi 2.naona mzunguko wa pesa ukipungua kwa kasi kikubwa 3.naiona tanzania yenye watumishi wengi wa uma wakiwa na maisha duni 4.naona biashara nyingi zikidoda(manunuzi kupungua) 5.naona watanzania wengi wakikimbilia vijijini baada...
  8. tity

    Tanzania mpya ninayoiona

    1. Naona wawekezaji wengi wakifunga makampuni yao na kukimbia nchi. 2. Naona mzunguko wa pesa ukipungua kwa kasi kikubwa. 3. Naiona tanzania yenye watumishi wengi wa uma wakiwa na maisha duni. 4. Naona biashara nyingi zikidoda (manunuzi kupungua) 5. Naona watanzania wengi wakikimbilia...
  9. tity

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    kwa kutekeleza dhana yako ya kupunguza gharama zisizo na tija,ningependekeza uwafutilie mbali wakuu wa wilaya wote na badala yake wilaya ziwe chini ya wakurugenzi tu...pia naomba utubadilishie mkuu wa mkoa wa dsm kwani jiji hili linahitaji mtu mwenye kaliba kama yako ili lisonge mbele kimaendeleo..
  10. tity

    UKAWA the geniusity of minority

    ni watu wachache sana tena wenye akili ndio wataelewa kuwa walichokifanya ukawa ni sahii..."it was their perfect timing kuiambia dunia kuwa hawakubaliani na uporwaji wa democrasia uliotokea zanzibar...hawakuwa against magufuli coz legally he is the president..."ukweli utabaki pale pale,there...
  11. tity

    Benki Kuu waichunguze EFC Microfinance

    Napenda kuwashauri BOT waikague vizuri hii kampuni ya Wacanada. Je, hii kampuni inalipa kodi toka imeanzishwa? Je, inajiendesha kwa kufuata regulations zote? Naomba mfuatilie kwa undani maana ipo kwa zaidi ya miaka 4 sasa..
  12. tity

    Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    acheni kujifariji nyie kwa huo uteuzi...waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali,lazima awe ni mtu ambae kaishapimwa kwa uchapakazi waka kwa mapana .....kwa magufuli alivyo wa jazba na kukur?puka,alitakiwa afanye kazi na mtu mwenye akili na busara kumzidi..eg mhongo au labda na...
  13. tity

    Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    2006 kikwete alifanya kosa kumteua lowassa maana alimfunika vibaya,magufuli naona kaogopa kumteua mwakiembe au mhongo maana wte wajanja kumliko wangemfunika sana..
  14. tity

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    kwa taarifa nilizozipata..hatimaye waziri mkuu kafahamika na ni j.makamba..nini maoni yako
  15. tity

    Yaliyojiri Bungeni Nov 17, 2015: Job Ndugai achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la JMT

    mtaalamu wa kilimo kutoka sua,anaenda kuongoza chombo kinacho rekebisha na kutunga sheria,kuisimamia,kuishauri na kuiwajibisha serikali...alafu lijitu lisilojua impact yake limekaa chini linashangilia...kwa kweli tanzania kuna mijitu mijinga cjawahi ona...
  16. tity

    Yaliyojiri Bungeni Nov 17, 2015: Job Ndugai achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la JMT

    ikiwa ni siku ya kwanza tu,wabunge wa ccm wanaonekana kuwa waoga na wanaonekana kupanic sana..na ukiangalia. mbowe,mbatia,mnyika,kubenea,sakaya,mdee,lissu,bulaya hawajaongea chochote lakini ccm tayari wameloa..nape ndio pumba kabisaaaaa...huu mwaka ndugai na wenzake kama hawatorusha ngumi sijui...
  17. tity

    Naomba kujua tofauti ya conceptual framework na theoretical framework,pia na hypothesis

    kwa kuwa una idea kuhusu hypotheais,ntakusaidia hzo mbili..conceptual framework ni wakati pale mtafiti baada ya kufanya literature review huibuka na maudhui(themes) mbali mbali kuhusu hzo literatures...theoretical framework ni maelezo kuhusu namna gani themes za kwenye hzo literatures zako zina...
  18. tity

    Kwa kauli ya Zitto, Dr. Tulia hana sifa

Back
Top Bottom