Benki Kuu waichunguze EFC Microfinance

Benki Kuu waichunguze EFC Microfinance

tity

Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
44
Reaction score
15
Napenda kuwashauri BOT waikague vizuri hii kampuni ya Wacanada.

Je, hii kampuni inalipa kodi toka imeanzishwa?

Je, inajiendesha kwa kufuata regulations zote?

Naomba mfuatilie kwa undani maana ipo kwa zaidi ya miaka 4 sasa..
 
Mkuu ugali uliopo ni mwingi. Lakini umeleta mboga kiduchu. Hebu ongeza nyama kidogo na mchuzi kwenye hii hoja yako juu ya hiyo MFI kwani pengine kuna walakini fulani uliouona na kupelekea ukawa na mashaka juu yake. Weka mambo hadharani.
 
Napenda kuwashauri BOT waikague vizuri hii kampuni ya Wacanada.

Je, hii kampuni inalipa kodi toka imeanzishwa?

Je, insjiendesha kwa kufuata regulations zote?

Naomba mfuatilie kwa undani maana ipo kwa zaidi ya miaka 4 sasa..

Kwa taarifa yako serikali inamiliki hisa zaidi ya 50% mwny taasisi hiyo ya fedha!
 
Napenda kuwashauri BOT waikague vizuri hii kampuni ya Wacanada.

Je, hii kampuni inalipa kodi toka imeanzishwa?

Je, inajiendesha kwa kufuata regulations zote?

Naomba mfuatilie kwa undani maana ipo kwa zaidi ya miaka 4 sasa..
Acha wivu! Isije ikawa umenyimwa mkopo ndy unakuja kuwachafulia humu.
 
Napenda kuwashauri BOT waikague vizuri hii kampuni ya Wacanada.

Je, hii kampuni inalipa kodi toka imeanzishwa?

Je, inajiendesha kwa kufuata regulations zote?

Naomba mfuatilie kwa undani maana ipo kwa zaidi ya miaka 4 sasa..
Mkuu waanzie wapi?
 
Utapoteza muda wako bure mauditor wengi wa BOT/TRA ni vilaza ni rahisi kuwadanganya kwa ufupi majibu ya maswali yote mawili ni HAPANA.
 
Wakuu kwa kweli nawaambieni kabisa kwamba hizi microfinance mara Zote zimekuwa zinakwenda kwa namna ya udhurumishi hasa kwa wafanyakazi Kalina nakubaliana Sana kwamba kuna kila dalili ya kutokulipa kodi na Kama wanalipa basi wanalipa kidogo saana
 
Hayo umekumbuka kuuliza baada ya mkopo kubuma eeh?EFC so mchezo
 
Utapoteza muda wako bure mauditor wengi wa BOT/TRA ni vilaza ni rahisi kuwadanganya kwa ufupi majibu ya maswali yote mawili ni HAPANA.

Ili ueleweke vizuri itakuwa vema ukaweka data za kudhibitisha walivyo vilaza!
 
Napenda kuwashauri BOT waikague vizuri hii kampuni ya Wacanada.

Je, hii kampuni inalipa kodi toka imeanzishwa?

Je, inajiendesha kwa kufuata regulations zote?

Naomba mfuatilie kwa undani maana ipo kwa zaidi ya miaka 4 sasa..

Waichunguze kwa lipi?ebu funguka,umeshuhudia kuna manuva ya ukwepaji kodi ama?ibu funguka ili wadau wa BOT tujue tunaanzia wapi!
 
Napenda kuwashauri BOT waikague vizuri hii kampuni ya Wacanada.

Je, hii kampuni inalipa kodi toka imeanzishwa?

Je, inajiendesha kwa kufuata regulations zote?

Naomba mfuatilie kwa undani maana ipo kwa zaidi ya miaka 4 sasa..

Kwahyo tatizo lako ni hyo mfi kuwepo kwa miaka 4? Au kama wanalipa kodi au ni nn? Jaribu kufafanua vizur unaweza ukawa na point muhim labda.
 
Back
Top Bottom