Search results

  1. usser

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa haraka haraka ukiwa na 1.2m unamaliza Kwa Ile bei Yao ya kawaida ambayo nguzo moja hua wanasema n 370k
  2. usser

    Pombe miongoni mwa vichocheo vya ngono zembe

    Pombe na wanawake humpotosha mwanaume
  3. usser

    Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Ulweso πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜kuna gwara za kutosha Mrs
  4. usser

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Mwanamke kwenye ndoa azae tu watoto Zaid ya hapo n k tu atakupa Ukiondoa hivo viwil n bas hakuna chamaa kingine Zaid utakerwa Tu
  5. usser

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Kama Kaka na dada kabisa
  6. usser

    Usiyoyajua kuhusu Kylian Mbappe

    Afte 10yrs unaskia n maskin WA kutupwa
  7. usser

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Hata akiendelea kumuimba n ex wake hawez kuacha
  8. usser

    Benno Kakolanya hakutoroka kambini. Amesingiziwa na kuchafuliwa jina

    Admin WA page ya wasafi n kama anakua Tu mlev post zake nyingi anakurupukA
  9. usser

    Dullah Planet aliyeacha kazi EATV sasa rasmi ahamia CROWN FM ya Ali Kiba

    Redio za kujifunza zipo huko nanjilinji Huon Farhan alianizia huko iringa cjui na Millard,dinnamarious hawa wote walianzia uchochoron ndo wakaja barabran Kwahyo wanaotoka chuo waaanzie huko huko
  10. usser

    Baada ya kujifungua mapigo ya moyo yapo zaid ya 100

    Mkuu nje ya mad kidogo Mimba iliyoanza kutungwa Kati ya trh 16-18 January Hadi Leo trh 8 April inakua na week ngapi?
  11. usser

    Mkanganyiko juu ya siku za mwanamke nipeni elimu

    Mimi natoka nje ya mad kidogo kuuliza swali Je,mimba iliyotungwa kuanzia trh 16-18 January Hadi Leo trh 8 April inakua na week ngapi?
  12. usser

    Nilikuwa na hamu kubwa lakini ile najaribu tu ikawa utambi😭😭

    πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Dhaaaa aiseeeee nmechekaaaaa
  13. usser

    Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

    Mwisho WA haka kadem watu watalizwa Mpaka ukoma
  14. usser

    Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

    Kolo zidad wanaomba wasipewe mamelod
  15. usser

    Nahitaji kupata mume, tujenge maisha

    Na mm bado cjampata mkee Mrefu na asie na kelele jaman
  16. usser

    Marioo afunguliwa kesi ya Madai ya Tsh. Milioni 550 kwa kukiuka Mkataba wa Tamasha

    Hawa wasanii ni wajinga, wacha wanyoroshwe vizuri
  17. usser

    House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Maeneo ya nyakato kutoka musoma road Chumban naeza pata cha bei gani
Back
Top Bottom