Search results

  1. Solita

    Wanawake wengi ni bandia...

    Sio wanawake tu hata baadhi ya wanaume nao ni bandia, kwani wanajichubua, kusuka, kutoga pua na masikio, acha unyanyasaji huo.
  2. Solita

    Nini kinawasukuma watu kuingia kwenye dini hii?

    Niliposikia kwa mara ya kwanza kuhusa hawa Freemason ni kwamba watu wanaingia katika dini hiyo ili kujipatia utajiri, lakini kinachotokea kwa sasa nasikia baadhi ya watu wenye vyeo na mamlaka katika nchi tena waliofanikiwa katika wanachokifanya, wanamuziki wenye mafanikio na hata waigizaji...
  3. Solita

    Mtaalam wa masuala ya filamu huyu hapa

    nashukuru nitamcheck wema.
  4. Solita

    Mtaalam wa masuala ya filamu huyu hapa

    ni BA in masscomm.
  5. Solita

    Mtaalam wa masuala ya filamu huyu hapa

    asante kaka m2 wangu
  6. Solita

    Jamani nifanye nini katika hili? Msaada wenu tafadhali

    Mimi ni mdada, nilifanya mtihani wa kidato cha sita mwaka 2007 kama private candidates, baadae nikapata nafasi ya kujiunga na chuo kikuu kwa kutumia cheti changu cha matokeo yaani result slip, shida yangu ni kwamba mpaka sasa sijapat cheti changu cha kidato cha sita kwani kila nikienda necta...
  7. Solita

    Mtaalam wa masuala ya filamu huyu hapa

    Mimi ni mdada ambaye nina utaalam wa kuandika script za filamu pamoja na kutunga ideas za filamu hizo, mpaka sasa nimeshaandika filamu zangu nyingi tu ila sijaweza kuzicheza kutokana na sababu mbalimbali, lakini pia naweza kutafuta ideas za matangazo ya biashara ya redio na Tv na kuandika...
  8. Solita

    Hivi yule anayelia kwenye tangazo la "Wamekataaa" anazungumza nini?

    Nakubaliana na wewe kwani enzi zile za kutuma pesa kwa basi ilikuwa ni gharama kubwa hapo bado hujahesabu muda mrefu unaotumika na wakati mwingine pesa kupotea.
  9. Solita

    Hivi yule anayelia kwenye tangazo la "Wamekataaa" anazungumza nini?

    ndio maana akili imemruka kumbe ada yake imepungua! asante kwa ufafanuzi.
  10. Solita

    Hivi yule anayelia kwenye tangazo la "Wamekataaa" anazungumza nini?

    Jamani hivi yule mtu anayelia kwenye tangazo linalojulikana kama "wamekata" huwa anazungumza kitu gani maana najitahidi ili nielewe kuhusu hilo tangazo hasa kwenye hicho kipengele lakini siambulii kitu, anayeelewa anijuze! karibuni
  11. Solita

    Mwanamuziki Nash MC ana VVU

    anzisha gazeti lako la udaku unaonekana ni mbunifu wa title!
  12. Solita

    Wasanii wa bongo na sifa ya ushombeshombe!

    Naomba mnisaidie wanajopo hivi kuwa shombeshombe ni bahati? maana juzi nilikuwa naangalia Fnl East africa tv, nikamsikia Nuru anamuuliza mgeni aliyekuwepo kwamba anafikiri mwaka huu ni wa mashombeshombe? halafu akamalizia si unajua sisi mashombemashombe!, si yeye tu lakini namsikia bob junior...
  13. Solita

    Upasuaji wa macho

    Nimekuwa na tatizo la macho kwa muda mrefu mwaka 2002 nilifanyiwa upasuaji wa jicho kutokana na ugonjwa wa mtoto wa jicho lakini kwa sasa naona tatzo limerudi tena kwa maana ya mtoto wa jicho kurudi tena katika jicho lile lile je inawezekana nikafanyiwa tena na jicho langu likabaki salama? na...
  14. Solita

    TCRA angalieni hivi vituo vya redio

    Nakubaliana na wewe mkereketwa redio watangazaji wa redio hizi ni kichefuchefu, nafkri kuna haja ya kuangalia suala la elimu kuliko hivi sasa ambapo wengi ni form waliofeli kazi kuwalisha watu pumba
  15. Solita

    Kwa wadada hasa walio single

    huyo jamaa ameshindwa hata kutengeneza mbinu ya kumuacha m2, hata mm kaniboa ila ucjali huwezi jua Mungu amekuandalia nn!
  16. Solita

    Diamond: Sasa atatembea akiwa amekaa hapa.....

    Nimeipenda hiyo maana vyeti vyangu bado vinaning'inia ukutani na bado hakijaeleweka!
  17. Solita

    Faiza wa 5 select EATV naye ni walewale

    umenifurahisha sana, na hiyo nia yako ya kukabandua hako katoto ila nina wasiwasi cjui kama utawahi!
  18. Solita

    Wema nimemtengeneza, hawatamuweza tena - Mama Wema

    "Nani kama mama? wahenga nao hawakufafanua mama wa aina gani maana kama mama anajigamba kumtengeneza mwanae hapo kuna nini tena!
  19. Solita

    Tundu Lissu amjibu Komba; short and clear

    Naona hakuna mwenye afadhali hapo, ni 1-1...........................
Back
Top Bottom